Kwani Makongoro ni nani kwa nchi ya Tanzania? Tanzania sio patrimonial country. Yeye nani kamwambia ataishi milele? nani anajua kesho hadi kuanza kuzungumzia afya ya mwingine? kifo , ugonjwa, ulemavu unaweza kumapa mtu yeyote. hata kama EL ni mgonjwa lakini waTanzania ndio wanampenda mgonjwa...
Sina comment Zaidi ila pia sio vibaya kutembelea hii site hapa. Ni nzuri sana kama ukipata mda wa kusikiliza hizo hotuba ni nzuri. Enjoy.
http://www.ted.com/themes/view/id/45
http://www.ted.com/index.php/talks/view/id/127
http://www.youtube.com/watch?v=iG9CE55wbtY
Shy Bwana siku hizi kaibuka na kamtindo ka kujipendekeza kwa wakubwa. Anyway haina haja ya yeye kwenda kula kiapo kwa hilo. kama ni ukweli aujua yeye na alichofanya ni kuweka hapa jamvini ili hizi taarifa zifikie mamlaka husika, kama kuna ukweli basi hatua zaidi zitachukuliwa. Mambo ya kula...
Duh! Washikaji sio siri hiyo Title ilinistua kidogo "NGOMA LONDON" nikasema sasa tumekwisha na watu mnavyopokezana mademu kama mchezo wa kupokezana vijiti!
Labda nimechelewa kuiona hii ila naona tarehe zimeisha pita siku nyingi mkuu. Ila tunashukuru kwa taarifa hii na wengine jamani mkipata issue muweke hapa. Watanzania wachangamkie. Kuna Mkenya mmoja aliniambia watanzania huwa hawataki kuchangamkia issue " hawako agrecive" ndio maana hata ukienda...
Mkubwa naona wewe umeenda mbali sana. Hili tatizo la miundo mbinu nadhani ni kuanzia Chekechea. Tumeona sasa hivi shule za msingi zimefurika ile mbaya. Idadi ya wanafunzi hailingani na madarasa, walimu, vitabu vya kusoma na kufundishia, viwanja vya michezo na hata maji safi ya kunywa...
Cigarette : A pinch of tobacco rolled in paper with fire at one end & a fool at the other.
Lecture : An art of transferring information from the notes of the lecturer to the notes of the students without passing through "the minds of either".
Conference : The confusion of one man multiplied...
By all Means... MARRY!
I recently read that love is entirely a matter of chemistry. That must be why my wife treats me like toxic waste.
David Bissonette
When a man steals your wife, there is no better revenge than to let him keep her.
Sacha Guitry
After marriage, husband...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.