Recent content by Mparee2

  1. Mparee2

    Benki ya CRDB yaendelea kusaidia jitihada za Serikali kuboresha mazingira ya elimu nchini

    Hongera sana Japo nawashauri wakumbuke pia kuboresha huduma kwa kuongeza wahudumu counter na kupunguza/ kufuta baadhi ya matozo. Faida mnayotuambia mmepata ya mabilioni kila mwaka ionekane kwenye huduma kwa wateja. Pamoja na hayo matozo mengi bado wateja wanashinda Bank masaa kadhaa badala ya...
  2. Mparee2

    Robot Eunice kushindanishwa na Robot mbalimbali barani Africa kwenye Shindano la Robots

    Kwa wanaofuatilia Technologia ya Robot na maboresho yake hadi sasa kuanzia Mwonekano kwa ujumla hadi miguu; nafikiri Eunice yupo ngazi ya Primary wakati wengine huko Duniani wakiwa form Six wanajiandaa kuchukua degree....
  3. Mparee2

    Ndani ya mwaka mmoja Watoto 225,003 wanaolelewa Vituoni wameongezeka Tanzania

    Ndoa ya mke mmoja, ni moja ya sababu kwani wanaume wakizalisha wanaogopa kuwatambulisha kwao.... Utafiti ulifanyika Kenya kwa kuchukua miji yenye waislam wengi kama Mombasa, malindi nk ikilinganishwa na mij inayotawaliwa na madhehebu mengine
  4. Mparee2

    Magogoni Ikulu imechoka, ni bora walivyoamua kuhamia Chamwino

    Mimi sio Engineer ila nilisoma kuwa, a high quality paint can last for about 7 to 10 years when painted exterior; however there are many factors which can alter the life span such as weather, temperature, salinity etc Sasa kwa Chumvi, na joto la Dar; hata ukipaka rangi yenye ubora kiasi gani...
  5. Mparee2

    Magogoni Ikulu imechoka, ni bora walivyoamua kuhamia Chamwino

    Ingekuwa rangi ikiwa hivyo msingi umeoza labda 75% ya Nyumba za Dar zingekuwa za kubomoa.... Nafikiri utafute Elimu zaidi ya Rangi......+ weathering
  6. Mparee2

    Kwa familia za kiislam mke wa kwanza na watoto huishi kwa hofu ya baba kuongeza mke, mda wowote mzee anaweza hamisha kambi mazima

    Wanaofanya hivyo hawafati mafundisho ya Uislam; hivyo sio Uislam bali ni tabia zao binafsi Hii ni sawa tu na wale wengine waliotakiwa kuoa mke mmoja lakini unakuta ana nyumba ndogo kadhaa ambazo zinatumbua maisha huku nyumbani kwake wanaishi maisha ya kuunga unga...
  7. Mparee2

    Nilivyotongozwa na msichana Baa

    Ukiendelea hivi utakuwa mwandishi mzuri wa hadithi japo hii ipo kama ndoto vile japo sijasoma yote 1. Labda nikuulize tu; ni Baa gani hiyo ina zima mziki ili Waislam wapige adhana? 2. Kulikuwa na umuhimu gani wa kuhusisha kutongozwa kwako na Uislam? 3. Una maanisha mtu akiibiwa simu na mtu...
  8. Mparee2

    Mwendesha Bodaboda, kama unapenda kuishi, pitia hapa!

    Kutokana na changamoto za waendesha Pikipiki, nimeona niwakumbushe tena kwani wengi hufanya mzaha barabarani bila kujua kuwa Mwili wao ndio bodi ya pikipiki! 1. Usikae ubavuni mwa gari, kwa kuwa hutajua maamuzi dereva wa gari anayotaka kufanya. Gari inaweza kupinda kushoto au Kulia bila...
  9. Mparee2

    Ni kifaa gani hiki?

    Hiyo ni Radio call ya mawasiliano; inaweza kutumika kwenye Camp za porini (bush camp) au kwenye magari ya watalii au magari ya kijeshi/kivita. Naona kama niya kizamani sijui kama bado inafanyakazi....
  10. Mparee2

    Kero ya wananchi mbele ya Mkuu wa Mkoa Arusha ndugu Makonda

    Ulichokiandika ni hoja za kujibia mtihani ILA kiuhalisia mambo hayako hivyo huku nje... Tunaposoma Vyuoni tunafundishwa taratibu ambazo zinatekelezeka kwa Nchi za ulimwengu wa Kwanza au niseme kwa Nchi ambayo watu wame Elimika kwa asilimia 85% na vyombo vyote vinatekeleza majukumu yake kwa...
  11. Mparee2

    Furaha yako kubwa hapa duniani ni nini?

    Kuna kitu cha muhimu sana anacho huyu kijana nacho nikupenda watu wengine nao wawe na furaha. Hiyo ni zawadi kutoka kwa Mungu...Hongera sana!!! Kuhusu ujuzi wake wa ujenzi; KAMA ANAWEZA KUJENGA TENA KWA BEI RAFIKI KABISA SASA TATIZO LIKO WAPI? Aweke namba na mahala alipo, waliomuelewa wamtafute!
  12. Mparee2

    Kinachotokea kwenye mikutano mkuu wa mkoa Arusha kitufungue macho!

    Ujue Watanzania sio wajinga....hawazi mtu kwenda kwenye madai akiwa hajajiandaa... Kama umefuatilia mikutano utakuwa umegundua kuwa; wengi wanaokuja wana data na refrence kibao (faili zima) pengine kushinda hata Mkurugenzi au pengine wanatakiwa kuwakilisha ushahidi wa madai yao siku inayofuata...
  13. Mparee2

    Aibu kwa kampuni ya Cocacola, fanta ndani ina kisoda kilichokunjwa

    Kwani hiyo soda unaiosha ndio unywe? Najiuliza tu kuwa unawezaje kukunja kizibo kichafu halafu utumbukize kwenye soda halafu unywe? ndio sababu magonjwa ya tumbo hayaishi
  14. Mparee2

    Kinachotokea kwenye mikutano mkuu wa mkoa Arusha kitufungue macho!

    Kinachotokea kwenye mikutano ya mkuu wa Mkoa wa Arusha kimeonesha kuwa, wananchi wengi wanateseka sana kwa kukosa haki zao kutokana na watendaji wabovu wa nafasi tofauti tofauti. Nafikiri hata viongozi wa juu wanashangazwa na uozo uliopo huku chini Ikimpendeza Muheshimiwa Waziri Mkuu atoe TAMKO...
  15. Mparee2

    Usiogope kufa, kufa ni kupumzika na kula raha hakuna utafutaji huko

    Kama una akili na maarifa unaweza kutambua kuwa; Huwezi kufanya maovu kwa binadamu wenzako kwa sababu zako binafsi eti iishie tu hapo; Lazima kutakuwa na pahala ambapo wale walionyanyasika au waliokosa haki zao hapa Duniani watazipata "What goes around comes around" Ni suala la muda tu!
Back
Top Bottom