Viwanja vina balaa sana
Kiwanja ndio sehemu pekee ambayo hata mawaziri huwa wanatapeliwa.
Ma brigedia wa jeshi huwa wanatapeliwa pia kwenye mauziano ya kiwanja.
Kiwanja hakina mjanja hata majaji wenyewe huwa wanapigwa kwenye kiwanja.
Mke wa Nyerere mwenyewe alitaka kutapeliwa kiwanja cha...
Habari wadau.
Kwa wale wajomba na mashangazi above 30s nazani wanazijua sana hizi stori.
Dar kulikuwa na vitisho vingi mitaani kwamba jini mrefu kavaa kanzu kaonekana bondeni. Watu wanabadilisha njia.
Shule kwenye shule za msingi kulikuwa na vitisho vya mbuzi kaonekana chooni anakuna nazi...
Watumishi wa Mungu wanagombania pesa na mali, mchungaji anagombania ardhi ya wananchi. Mwingira wa Efatha anatia aibu watumishi.
Hapo unakuta kuna wamama wanaamini Mwingira ndio mlezi wao wa kiroho wa kuwafikisha mbinguni, huku mchungaji mwenyewe anavunja nyumba za wananchi ili apate ardhi.
Topic sana.
Kwangu mimi na mawazo yangu ndoa takatifu inapatikana kama ndoa hiyo ikifungwa mapema. Mume na mke wasiwe na ma ex nyuma ama msururu wa ma x.
Bibi harusi aolewe bikra na ikiwezekana na mume nae awe hajawai ku do.
Ndoa hizi za kisasa ambazo zinafungwa age za wanandoa above 30s...
Kama nyumba alikukuta nayo kabla hamjafunga ndoa. Sioni sababu zake za kulalamika.
Pia sheria ya ndoa inaruhusu mali ya wanandoa kuandikwa jina la mtu mmoja
Habari wadau.
Natafuta kiwanja maeneo ya Kitunda Kivule mpaka maeneo ya Msongola.
Bajeti yangu ni milioni 5.
Ukubwa wa Kiwanja kisipungue sqm 300. Kama kikiwa kikubwa zaidi nitashukuru.
Kama unauza kiwanja maeneo hayo karibu unipe sifa zake.
Pesa ipo mfuko wa shati
NA mama ntilie na wao wawepo kwenye safari. ili wakajifunze kutoka kwa mama ntilie wa majuu jinsi wanavyopika kwa usafi na jinsi wanavyoosha vyombo haraka
game 5 mavs vs wolves kyrie irving alimaliza kwa kufunga 36 points .
kufikisha 36 points kwenye mechi ambayo haijaenda hata overtime, ndio kushikwa?
wolves hakuna mchezaji hata mmoja aliyefikisha 36 points.
ila kyrie alifikisha kwenye game 5
Ameongelea bad day ya kyrie irving kama ya leo haitaweza kutokea kila siku.
Its impossible kwa kyrie irving kufunga point chache kama point 16 kama alizofunga leo kwenye mechi zote 4 mfulizo. Lazima kuna mechi atawaka kama kawaida yake Na hiyo ndio itaclose series. Maana mechi moja tu mavs...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.