Recent content by Mechanic 97

  1. Mechanic 97

    Wakuu naishi vipi na 2d animation skills

    Kutengeneza nailewa hasa 2d animation 3d niliishia kwenye texturing
  2. Mechanic 97

    Wakuu naishi vipi na 2d animation skills

    Sema huko ni gharama yaani hapo kidogo angalau ni blender na krita na bado hizo software ni ghari pia ni ngumu kuzimaster na huhitaji PC ya maana Sasa Ili kupata pakuanzia ndio tupo huku kwenye android na flipclip japo nayo sio ya kizembe.
  3. Mechanic 97

    Wakuu naishi vipi na 2d animation skills

    Ni kweli mkuu sema internet na Smart device zinasaidia sana aisee. Mfano huko kwenye freelancing site ukiweka ka mfano kidogo lazima upate chochote kitu.
  4. Mechanic 97

    Wakuu naishi vipi na 2d animation skills

    Presentation, slideshow na animation hizo zote ni motion picture
  5. Mechanic 97

    Wakuu naishi vipi na 2d animation skills

    Kweli mkuu kabisa unajua haya maisha wengi hatuishi ndoto zetu
  6. Mechanic 97

    Wakuu naishi vipi na 2d animation skills

    Hapana sio graphics tablet ni tablet la kawaida tu kama simu tu ila lenyewe nalipendea Kwa Sababu ya large surface. graphics tablet ni Bei ghali mno micro anime mm sijaipata ila kitambo hicho nilianzaga na stoppola hii niliona itanighalimu kwakuwa ilikua unachorea nje then unascan picha kwenye...
  7. Mechanic 97

    Wakuu naishi vipi na 2d animation skills

    Jamii zetu bado sana aisee ila bado unaweza mkuu wenyewe wanasema hii fani unastafu Hadi pindi ambapo mikono yako itakuwa haiwezi kushika pencil chakufanya tafuta tablet la android hili ni cheap sana. Na application kama vile flipclip na ibis paint
  8. Mechanic 97

    Wakuu naishi vipi na 2d animation skills

    Mambo sio rahisi hivyo nimefanya katuni huku fiverr nimeona ni Bora nifanye kimtaa tu
  9. Mechanic 97

    Wakuu naishi vipi na 2d animation skills

    2d animation kazi kumbwa ipo kwenye kuchora hayo mengine sijui animation mechanics, mambo ya frame ni kawaida sana. Ila wa 3d animation sijui modelling, texturing, sculpting, rigging, rendering sijui ndo uje kwennye animation mechanics, frame, storyboards ndio maana 3d animation huwa haifanywi...
  10. Mechanic 97

    Wakuu naishi vipi na 2d animation skills

    Tatizo kuitransform freelancing kuwa big business ndio utata hafu mle una yonyeka sana. Kwa Sababu nimejaribu kuangalia client wengi wa animation wengi Wana YouTube channel ndio wanahost zile
  11. Mechanic 97

    Wakuu naishi vipi na 2d animation skills

    2d animation kama unajua kuchora unaweza Anza hata Sasa ila katika ulimwengu wa 3d sikushauri inahitaji uwekezaji aisee nilisha jifunzaga blender ule mziki sio wa nchi hii hafu kwenye kutengeneza animation ndio utata mkuu sijui kuna ku add bone, sijui physics, mara kurender yaani ni hatari ila...
  12. Mechanic 97

    Wakuu naishi vipi na 2d animation skills

    Vikwazo vingi huko hafu huwezi kufanikiwa Kwa kiasi kikubwa unapata pesa za kawaida sana. Yaani Mimi nataka niwe msaani kama wasinii wengine.
  13. Mechanic 97

    Tangazo la ajira kutoka Jeshi la Polisi Tanzania Aprili, 2024

    Acheni kujitetea Kwa hoja za kulazimishia inshort you have failed and you are not professional personer
  14. Mechanic 97

    Tangazo la ajira kutoka Jeshi la Polisi Tanzania Aprili, 2024

    Yaani mtu ana degree ya engineering hafu anaomba kazi ya upolice kweli Africa tuna laana
Back
Top Bottom