Jamani wengine hatuna historia vizuri juu ya tuhuma za Msuya juu ya kifo cha Sokoine? Tupeni taarifa vizuri huyo Msuya alihusikaje na hicho kifo ili tuconnect dotes wengine tumezaliwa 1989 so tulipishana na marehem.Samahani kwa kuomba data za zamani
Hahaha afidie usumbufu sasa Ila ukisoma zile zilizo kamilika mpaka raha hakuna cha kusubiri kama hii yani mtu unakua na ham balaa kila mda unacheki vipi kaweka unakuta ola
Ila mie nazilaumu Gesti zetu hizi haiwezekaniki mtu kaja bila polisi unamruhusu akaingie chumba cha mtu ambae ni mteja wako, lawaama zote zielekezwe kwa hawa wenye gesti kwanini wanashindwa kutoa ulinzi kwa wateja wao. Sio siri niliuzunika sana kwa kitendo hiki nadhani fundisho nitawafikia wote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.