Recent content by Marytina

  1. M

    Hivi kwanini mtu aombe kwa kupitia bikira maria?

    Jambo la kustaajabisha sana
  2. M

    Maisha Bwana!😂 😂 😂

    1. Yaani ukifikiri kama panzi unakuwa panzi; lakini ukifikiri kama tajiri hauwi tajiri Hahahahah nimeipenda hii, ila wadogo zetu hamjawahi kuteseka shida kidogo mnalialia.....
  3. M

    Kwa kweli inasikitisha sana tulipofikia

    watoto wajue kujieleza kingereza fasaha, wajue kujumlisha, kutoa, kugawanya na kuzidisha hayo mengine ni mbwembwe....na ujue mtoto atafikia mahala ata branch out...hatakuwa kama utakavyo na jiandae na hiyo hali mapema mpe nafasi ya kujidhihirisha tokea akiwa mtoto wa primary
  4. M

    Kwa kweli inasikitisha sana tulipofikia

    ila pia kumzaa mtoto na kumpeleka kayumba ni dhambi mbele za MUNGU yafaa tuombe toba kwa kuwatesa watoto wa MUNGU,
  5. M

    Kwa kweli inasikitisha sana tulipofikia

    Mim watoto nawasomesha shule za kingereza za kawaida, nachoangalia ni ubora wa chakula na upendo wa walimu kwa watoto katika shule husika. Mambo ya kufauli au kufeli wala hayanitishi....nachohitaji mtoto akue akijua hesabu na kingereza cha kuanzia mengine mbele lwa mbele
  6. M

    Kwa aliyewahi kusali kwa Mchungaji Irene Uwoya "Friends of God" Ministry ushauri Tafadhali.

    MUNGU alimtumia kahaba Rahabu kuingia agano la kuwaokoa watu wa nyumbani kwake kutoka kwa wana wa Israel Hapa ondoa UWOYA ila makahaba waweza tumika na MUNGU vizuri tu
  7. M

    Baada ya Punda kujaa matundu ya Risasi Wananchi wataka kumnunulia Tundu Lisu " Mwanapunda" wa kuingia naye Yerusalem!

    RIH (Rest in Hell) JPM Hata SAMIA afanye uozo kiasi gani atabaki kuwa Rais bora kuliko Magufuli
  8. M

    Nimehitimu Masters ya Usimamizi na Utawala, natafuta kazi

    Kaza fuvu utachukua masters ambayo hautajaifanyia kazi
  9. M

    Benki ya CRDB yakabidhi madarasa Sekondari ya Kikilo, Shule ya Msingi Isabe, Kondoa

    40M kwa madarasa mawili hakika hakukuwa na wizi hapo kwani in most cases ni 24M kwa darasa
  10. M

    VIDEO: CNN imetoa ripoti ya kushtua kuhusu kuteswa kwa wafungwa wa Kipalestina

    Mbona sijaona wakiteswa zaidi ya maelezo ya waliteswa....wale wa URUSI ndio tuliona walivyochezea kichapo.... Mtu ukiambiwa ulete ugaudi urusi unaanza kulia kwa namna utakavyopigika, sio hao ISRAEL na USA mara human right kwa magaidi ujinga mtupu
  11. M

    Nimehitimu Masters ya Usimamizi na Utawala, natafuta kazi

    Ukifanya kazi japo hata kwa miaka miwili utajua uchukue masters ya mrengo upi hasa badala ya kukurupukia....yaan utafanya masters ambayo utaifaidi kazin na sio ibakie kwenye makaratasi
  12. M

    Juma Nkamia: Hayati Magufuli alipenda sana sifa hivyo nilimsifia ili Watoto wangu waende Shule

    Apumzike kwa amani huko aliko MAGUFULI Ila alipenda sana sifa na alitaka tumwabudu na kumsujudia.....ndio maana wengine walimfananisha na YESU Huu ujinga wa uchawa na kusifia sifia aliuleta huyu Dikteta Magufuli Kila mara nasema hata afanye mabaya kiasi gani SAMIA ataendelea kuwa rais bora...
  13. M

    Nimehitimu Masters ya Usimamizi na Utawala, natafuta kazi

    Masters sio mambo ya kukimbilia kama bado huna uzoefu wa kazi
Back
Top Bottom