Habari zenu wana jamvi,
Bila kupoteza muda mimi ni kijana mdogo 20s
Nimepata TATIZO naliona pigo kubwa katika maisha yangu.
Nilipata ajali niladondokea kinena yani njia ya mkojo ikaziba kabisa ila jogoo anawika.
Nipo katika process ya matibabu ila natumia CATHETER kujisaidia haja ndogo mwezi...
[emoji23][emoji23]hakuna sera, wakati umebadilika ila hatuna viongozi wenye mipango.. Mawaziri wetu hawana tija (wenge wao) kulingana na sekta zao huyu mama anaelemewa sana....
Sioni haja ya Waziri kuteuliwa kwa kigezo cha ubunge!!!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.