Wakenya watasumbua wale ambao hawajawahi kuishi huko. Wanajitekenya na kujichekea.. Hali yao mbaya just as any African state. Hawachekani na Tanzania. In fact bila chenga tumewapita mengi kuliko waliyotupia sisi. Ila bado wana zile old swags za wazazi wao na mpaka sasa wamekariri kuwa wametupita.
Sio rahisi kama unavyofikiria, nchi sio ya mtu mmoja au kikundi cha watu fulani wenye maamuzi tu yote kama wanavyojitahidi kuwaaminisha kuna sheria za ndani na za nje zinzozimulika za ndani kama tochi. Consequencies zake zina impact wengi na sio wachache.
Kama kweli unaamini kuwa hii ni vita kawaambie Hamas wavae uniforms na waingie mtaani na waache kujifichaficha ktk civilian shielding approach kama kweli wanaume. Waache kuvizia
Ndio maana ninataja neno ukichaa, sababu hata utambui kuwa tarehe saba Hamas waliivamia Israel, na pia hijui kuwa kijana wetu alikuwa Israel anasoma sasa umaongea utumbo gani hapa. Unafikiria kuwa Israel waljivamia na kuathiri maisha ya huyo kijana!?
Kwa kweli tulipofikia inatia kinyaa. Hamas wamemteka kijana mwanetu aliyekuwa Israel nadhani wakamfanya mateka, sasa kuna vichaa wanakuja na kuilaumu Israel tena dah!
Nahisi Kalewa huyu au ananyemelewa na mental disturbances! Kwani Mzee wa upako anauzungumziaje mkataba?? Nona yupo njee kabisa ya maada. Mambo ya kurusha jiwe gizani sijui! Mambo ya kujimwambafai eti ni mwanazuoni mbobevu, eti sijui watu wanamtenga kwakuwa ni mlevi!! Whaat an idiot!!. Naona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.