Recent content by Logikos

  1. Logikos

    UTAFITI: Makosa ya Lugha kupitia BBC SWAHILI

    Unaongelea hakuna hilo neno wakati nimeliweka na nimelitumia au ni nini maana ya neno ? na hapo nilipoandika nimeweka maneno typo, na all I can say..., au na hayo ni kiswahili au unadhani hapa naandika thesis au na mimi ni Broadcasting Company....
  2. Logikos

    UTAFITI: Makosa ya Lugha kupitia BBC SWAHILI

    Kwa Taasisi kubwa hio sio excuse hawakatazwi kuajiri proof reader.., kukosea wote tunakosea kuacha kosa liendelee kuwepo inaonesha kukosa Umakini..., Sasa kama mtu anayenilisha Habari sio Makini inaweza pelekea kutokuamini anachonilisha....
  3. Logikos

    UTAFITI: Makosa ya Lugha kupitia BBC SWAHILI

    Kwahio unaongelea hio typo au hata mtiririko wa maneno hauleti maana kwa haraka ? Kama ni typo basi mkuu all I can say is...... A Pot calling a Kettle Black.....
  4. Logikos

    Nape: Ikiwezekana tuweke kodi kwenye vitochi (Viswaswadu) ili kila Mwananchi amiliki Simu Janja tuendane na teknolojia ya Dunia

    Huu utakuwa ni Utani sababu mtu mwenye busara zake hawezi kuongea kwa rejareja bila kujua kwanini watu wanatumia wanachotumia... Battery Power (Bila umeme wa uhakika smart phone zinatumia umeme kuliko dumb phones) hivyo ni bora mtu akapata mawasiliano mpaka ya net kwa muda mfupi lakini...
  5. Logikos

    CHADEMA mnaposema Starlink gharama Zao ni kubwa huwa mnazilinganisha na nini?

    Bila kujua tatizo hatuwezi kutibu Ugonjwa ? Hivi mnadhani hizi gharama za Bundle ni sababu ya Mitandao kutoza bei kubwa au ni Tozo na bei Elekezi ya Serikali ndio inapelekea haya mambo ? Kumbuka Skype ilikuwa bure Tanzania wakaikataa isipunguze mapato yao through TTCL; Kumbuka ni hawa walikuwa...
  6. Logikos

    Tetesi: Hasira za Lissu ni kunyimwa gari na Rais Samia

    Samia ana Kiwanda cha Magari ?
  7. Logikos

    Tanzania (Cradle of Humanity na Moja ya Chimbuko la Mapinduzi Afrika) - The Untapped Cash Cow kupitia Utalii

    Tanzania - Chanzo cha Binadamu Kwanza kabisa ya Kaisari tumuachie Kaisari....; Tukifuata Historia Tanzania ni kwamba Chimbuko la Binadamu wa Kwanza ni nchini Tanzania Olduvai Gorge.., Ni kwamba hapa ndio Chanzo cha Binadamu na wote tumetokea hapa....; - Sasa hapo utaona kama vile watu...
  8. Logikos

    Taja jina la mtu ambaye hujawahi kukutana nalo zaidi ya mara moja

    Zwangendaba Gwaza kaZiguda Jele Gumbi, Rumpelstiltskin Nebuchadnezzar
  9. Logikos

    Nishati safi ya Kupikia – Gharama Nafuu (Kuanizia 0 Tshs)

    Chombo chochote unaweza kupata za DC ila sababu majority wameungwa kwenye grid vyombo vingi vya umeme ni AC..., na kwenye gari pia kuna advatange ukiwa kwenye mwendo ile nishati ya uendeshaji inachaji battery pia...., mimi hapa kwenye suggestion yangu tuachane kabisa na issue za battery yaani...
  10. Logikos

    Nishati safi ya Kupikia – Gharama Nafuu (Kuanizia 0 Tshs)

    Naam badala ya kutumia pesa zetu kujaribu kupelekea watu mitungi ya gesi au kufanya maigizo ya kuwapa mitungi hio ni vema nguvu hizo zikatumika kuwauganisha na umeme hawa ndugu zetu wa vijijini....
  11. Logikos

    Nishati safi ya Kupikia – Gharama Nafuu (Kuanizia 0 Tshs)

    Ofcourse hata pasi za DC au kila kifaa kinaweza kuwa converted na kufanya kazi directly from DC ila kuna vyombo vingapi watu wanavyo vya DC na je watakuwa na DC kuanzia Induction, mpaka Microwave, electronics nyingi ni DC na ni efficient kutumia DC hata kwenye AC ni kwamba huwa zinakuwa...
  12. Logikos

    Nishati safi ya Kupikia – Gharama Nafuu (Kuanizia 0 Tshs)

    Kutumia panel DC kwa ajili ya kupikia ni kujidangaya haiwezekani ufanye hivyo directly vifaa vingi ni AC na Wattage ni kubwa na kutoa kwenye panels, kupeleka kwenye battery alafu kubadilisha tena kuwa AC alafu upikie utakuwa wendawazimu...., Kwahio process ipo vipi angalia..... Tanesco na umeme...
  13. Logikos

    Nishati safi ya Kupikia – Gharama Nafuu (Kuanizia 0 Tshs)

    Na hii kwako wewe unaona ni efficient kuliko mtu kuwa na panels kwenye Paa lake na bila kufanya lolote ?, Na undhani hii inaweza ikawa replicated kwa kila kaya ? Watu ni wavivu na hawataki kufanya lolote ndio maana watu kama magereza na mashule ambao wanazalisha kilo za kutosha za kinyesi...
  14. Logikos

    Katuni ya The Simpsons na utabiri wa shida ya kimtandao duniani

    Ni kwamba electronic data storage is affected by electromagnet ndio maana kama ulishaangalia Series ya Breaking Bad aliweza kufuta data kwenye storage kwa kutumia electromagnet - That scene was / is based on True Facts - If You put a Strong Magnet kwenye digital data storage you wipe out the...
  15. Logikos

    Katuni ya The Simpsons na utabiri wa shida ya kimtandao duniani

    Hivi unadhani hii ndio mara ya kwanza au itakuwa mara ya Mwisho ? Haya mambo yanatokea na ni kawaida cha maana ni kuwa na back-up za kutosha..., ila kitu kinachotisha watu na kipo kwenye movies ni bomu la Electromagnet Bomb hence wiping out of the data.... Hence watu kufikiria protection ambayo...
Back
Top Bottom