Recent content by Liz Senior

  1. Liz Senior

    Nakata tamaa ya kuishi! msaada tafadhari...

    Hebu jaribu kuachana na vyaka vyenye mafuta mengi, mikaango, pilipili na vyenye chachu/ acidic food. Viazi vitamu na vyakula vilivyolala. Unapomaliza kula hakikisha unajishughulisha kidogo na usilale mara tu unapomaliza kula. Mto wako uwe umenyanyuka kidogo. Maelezo yako yanafanana na tatizo...
  2. Liz Senior

    Huwezi amini haya yametokea

    Sasa usipomtaja si unataka wengine wafe! Kama kweli umetaka watu wawe na tahadhari na ikiwa hili jambo ni kweli lilitokea unaogopa nini kumtaja! Kesho atakufa ndugu yako mikononi mwako Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  3. Liz Senior

    Magereza yatoa ufafanuz kuhusu mfungwa wa EPA

    Hivi kesi za uhaini ni zipi? Hii haiingii katika kundi hilo? Wataalamu naomba msaada hapa. Na je? Haya si yale makosa yasiyokubaliana na msamaha wa rais, Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  4. Liz Senior

    Beyonce agoma kuwa matron wa kimkardashian

    Mmenifurahisha sana! Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
  5. Liz Senior

    ipo siku nitampiga makofi wife akiwa anasali

    Atakuwa ana sababu! Pengine akisema hivyo utaacha mapema. Na wewe piga magoti kando yake sema sala ifuatayo: Ee baba wa mbinguni, nakuja kwako nikuomba umsaidie mke wangu mpenzi ajue ninavyokereka akinishtaki kwako! Funga pepo lake la malalamishi na utupe amani, niondolee hasira zinazopanda kila...
  6. Liz Senior

    ipo siku nitampiga makofi wife akiwa anasali

    Unaona sasa! Ndio shida ya jina lako! Umeshaanza kutoa siri za nyumbani! Khaaaa! Hivi ukoje! Snowdern bwana!
  7. Liz Senior

    Sisi wa awamu ya tatu kwa mujibu mmoja wetu ajaribu hili

    kwi kwi kwi! nyie watoto wa dot.com mnachekesha kweli! mnawapigia kujadiliana nao kama muende au msiende? au ni nini mnawauliza? Enzi zile za kina Afande Dunia... ukijiona tu selule unatafuta mbinu nyingine za kupata gamba na kuendelea na mchakato wa Mlimani. Hakuna mjadala nao...maana ilikuwa...
  8. Liz Senior

    Redd's Miss Tanzania 2013 ni sasa.........

    Ha ha ha! Yaani unataka umchape mwenzio na yeye amekariri desa lililokosewa! Amedai Mandela ambae ni rais wa SA amefungwa miaka 24 iliyopita! Ha ha ha... Unajua alisoma kwa kiingereza sasa alipotafsiri maana ikavurugika!
  9. Liz Senior

    LALAMIKO:Mwananchi na shindano lenu la "CHOMOKA NA MWANANCHI" kuna tofauti gani na UTAPELI?

    btw nimetuma namba kupitia tigo mara mbili wanadai namba imekosewa wakati huo huo nimetuma namba hiyo hiyo kupitia airtel namba ipo sawa! Tigo ndio wezi au Mwananchi!
  10. Liz Senior

    John Njenga Karugia: I cry for Tanzania - Madudu ya Julius K. Nyerere International Airport!

    Kwikwi kwiiiiiiiii! Jamani,bavu zangu! Hii tafsiri kiboko! Duh! Wale lugha changanya bora muwahi darasani ....maeneo ya Mugabe huwa naona matangazo njianii wanafundisha kiinglish! Wiki tatu tu unazungumza! I believe kusoma na kuelewa ni bill moja
  11. Liz Senior

    John Njenga Karugia: I cry for Tanzania - Madudu ya Julius K. Nyerere International Airport!

    This is so pathetic! Kweli hapa mtu akisema wakenya wanayuonea wivu ni wa kupiga mawe! Khaaa! Wanatuonea wivu kwa kuwa na mtu kama Achacha! Hivi inawezekanaje kuwa nae mpaka sasa! Huyu anahitaji kuwekwa kwenye wodi maalumu! Unfortunately habari ni ndefu ila ukianza kuisoma hutaiacha maana ni...
  12. Liz Senior

    Joining Instruction Yazua Taharuki Ndani Ya Familia!

    kama zilivyo shule za wavulana na za wasichana ni hali hiyo hiyo. Muhimu ni kuzungumza na watoto na kuwaelea katika maadili sahihi. Mara nyingine huwa tunawaficha sana watoto kufahamu mambo tunayoyaita "mazito" na bila kujua tunawaacha wakafundishwe na wenzao. Sasa kama hujawafundisha, wenzao...
  13. Liz Senior

    Joining Instruction Yazua Taharuki Ndani Ya Familia!

    hapa ndipo mahali pa kuzungumza na watoto. Maana hata kama familia ingepitiwa na hiyo tsunami mliyoomba haya mambo yapo, na usiposema nao watakutana nayo na wasijue jinsi ya kuyakabili. Japo huyo dogo mliona ndio mtata hata yeye anahitaji kufundishwa, maana watoto wetu wapo hatarini muda wote...
Back
Top Bottom