Pole pole kidogo mkuu, hebu tumia utaratibu wakujibu hoja Zake kuliko kumshambulia yeye binafsi. Huenda kwenye kumjibu wengine tukaungana na wewe kuwa mwanamama huyu hapaswi kuishi nchi hii.
Kwa ujasiri kabisa hutaki mawazo huru na mbadala yaingie bungeni. Hivi unajua hao wapinzani ndo kioo Cha serikali kujitazama na kujipima juu ya utendaji kupitia ukosoaji na mijadala isiyo na woga? Sikatai kuwa Kuna wabunge wa chama tawala wenye uthubutu wa kuihoji,kuipongeza na kuikosoa serikali...
Kuna kitu Kishimba alitaka kukisema ,na inawezekana nikizuri kabisa ila ameshindwa namna yakukiweka ili aeleweke. Ajipange vizuri siku nyingine akiseme kwani Kuna mantiki flani anayo kwenye hilo
Huu uelewa wangu kdg niingie Chaka. Nilijua unamaanisha ulilala na mkeo polisi kwa maana wote mlishikiliwa kumbe mke ndo alikusababishia kulala polisi. Pole sana!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.