Recent content by kingkaka_12

  1. kingkaka_12

    Nifanye biashara gani kwa mtaji wa 1 million Dar

    Hapan sina uzoefu nayo sana ila nimeendesha sana gari ndogo na hizi tipa na dumber
  2. kingkaka_12

    Nifanye biashara gani kwa mtaji wa 1 million Dar

    Mzee mie uzoefu wangu wa magari na mashine zinazo tengeneza barabar nimetafuta kazi nimekosa natak niuze simu yangu nije dar nifanye biashara tu maan na life ngumu sana
  3. kingkaka_12

    Nifanye biashara gani kwa mtaji wa 1 million Dar

    Kokote ambako kun mzunguko maan mie mgeni
  4. kingkaka_12

    Msaada wa kazi

    Habari Ndugu wa Jf Mie ni kijana wa 27 natokea mwanza ombi langu humu leo ni nafasi ya ajira nina uzoefu wa udereva usio pungua miaka 9 pia nina uzoefu wa mashine za ujenz wa barabara (excavator) usio pungua miaka 4 sasa naomba mwenye nafasi au hata connection yoyote anishike mkono niweze...
  5. kingkaka_12

    Nifanye biashara gani kwa mtaji wa 1 million Dar

    Habari Ndugu wa Jf, Natumaini wazima nilikuwa naomba ushauri wa bizness nina 1millon naweza fanya biashara gani Dar es Salaam
  6. kingkaka_12

    Excavator Job

    Nimetok kifany kz Kweny SGR kazi ikapungua tukapunguzwa kwa fela n mkuyun kupata nafasi ni ngum nshajarb san
  7. kingkaka_12

    Excavator Job

    Niko Mwanza mkuu Wizi kweny kazi amn kaka😌
  8. kingkaka_12

    Excavator Job

    Habari zenu wakuu, Naitwa Hamza natafuta kazi ya ku operate excavator pia nakuwa private driver au kampuni vyote ninaweza nina uzoefu wa muda mrefu naomba connections zenu wakuu Number angu.. 0744185019 0629579917
  9. kingkaka_12

    Excavator Operator, natafuta kazi

    Niko Mwanza now
  10. kingkaka_12

    Excavator Operator, natafuta kazi

    Amn shida kaka kukiwa na nafasi utanijulisha number angu ni hii 0744185019
  11. kingkaka_12

    Excavator Operator, natafuta kazi

    Amn mkuu mi napiga kazi kama kuna nafasi naomba unipe chance
Back
Top Bottom