Recent content by Killing machine

  1. K

    Yesu alikuwa naMajibu ya Kibabe sana 😂😂😂

    Mimi Huwa na mwitaga genius kasoro media😆😆
  2. K

    Kwa Mfanyabiashara Anaeweza Kuzalisha 1m kwa Mtaji wa 5m kwa wiki

    Kama ata kuwepo mtu wa kufanya biashara Kama hiyo Basi huyo atakuwa taperi mwenzio
  3. K

    Kukosa pesa ni kipimo tosha cha kutokuwa na akili

    Sikuzote ukweli haukubariki Ila ukweli ndio huo 🙏🙏
  4. K

    maisha yanazidi kuwa magumu kwangu

    Pole Sana mkuu litakwisha mungu ni mwema
  5. K

    Breakfast yako kuu kwa sasa ni ipi?

    Aiseeh chai Mimi sinywi Huwa nachukua nyanya mbichi,kitunguu,pilipili kidoogo hoho,embe,tango, carrot,limao, vinaoshwa kwa maji Safi vina katwa katwa Kisha vina liwa Kama kachumbali Baada ya Hapo niku nunua chupa za maji mpaka jioni inakuwa ni kazi kazi
  6. K

    Wanafunzi wa vyuo vikuu wainishi maisha ya kifahari sana siku hizi kulikoni

    Japo so wote Wengi wao ni waizi wa mitandaoni na bodies pusher's kwa wakike
  7. K

    Mwanangu anashindwa kutumia common sense?? Hii ni shida gani?

    Huyo sio chizi mkuu sema yeye ndio anakuona wewe chizi So anatumia Technic kukuzuia usiongee nae sjui umenielewa? Yani kwa mfano unaweza ukamuuliza mguu una vidole vingapi? Akakujibu vipo 8 Uka mshangaa ukamuuliza Tena kwa sauti umesema mguu mmoja una vidole vingapii Pumbavu wewe? aka...
  8. K

    Ninahitaji mke

    Kama kweli wewe ni bikra na una miaka 26 Basi utakuwa umepiga nyeto Sana
  9. K

    Rais Biden aionya Israel juu ya kuishambulia Rafah, asema hatoipa Silaha ikifanya hivyo

    Wanacho kifanya usa ni kujificha nyuma ya vyombo vya habari hakuna ukweli hapo
  10. K

    NEMC wamedhamiria kuua baishara ya baa na sanaa kwa ujumla. Baa itaendeshwa vipi bila muziki? Liquid Bar wamezuiwa kupiga muziki

    Ume Nena kwa uchungu Hapo wame gusa pabaya mkuu tulia kidogo pumua futa na jasho tusubiri majibu pole eeh
Back
Top Bottom