Search results

  1. K

    Kberrier ya Itigi na Kituo cha Polisi Itigi kuna rushwa

    Police wetu wapuuzi Sana unaweza kupigwa wewe ukaumia wewe Kisha aliye kupiga akiwai police wewe uliye pigwa ndo unawekwa chini ya ulinzi Haijarishi ume umia kiasi gani
  2. K

    Penina wa Goba Centre auawa na aliyekuwa mpenzi wake kwa kukatwa mapanga

    Huenda Kuna ukatiri mkubwa jamaa alifanyiwa kabla haja fanya tukio hilo
  3. K

    Nimeletewa mkunga leo we ungeweza kumla

    Hakuna kiumbe hatari duniani Kama bin adam
  4. K

    Mama amteka mtoto wake ili apate milion 20 kutoka kwa mumewe

    Sheria za haki sawa zime wa haribu Sana wake zetu
  5. K

    Hoja za Utanganyika na Uzanzibari ni Hoja Muflis za Ujinga wa Ukosefu Elimu ya Uraia. Tuwatoe Ujinga Huu Kwa Elimu ya Uraia au Tuwaache na Ujinga Wao?

    Huwa najiuliza ujinga wa watu hao wame barikiwaje kuwa na ujinga walio nao? Huwa najiuliza ni ipi tofauti ya mtanzania na mzambia,mkenya,md.r.c,mmalawi,nakuja kugundua wote Niwa moja Na pia Ukiangalia mipaka yetu udongo wetu,mimea yetu vyote vinatuambia sisi ni ndugu,sisi damu moja. Cha...
  6. K

    Haya ni mambo 12 ambayo hujawahi kuyajua kuhusu samaki

    Shukrani Sana kwa Uzi mzuri mkuu
  7. K

    USA yasema haijaidhinisha Safari ya Anasa ya Rais Rutto nchini Marekani!

    Jpm alikuwa kiongozi mzuri Sana SEMA alizidisha kidoogo ukauzu
  8. K

    Dkt. Stergomena Tax: Hali ya usaIama wa mpaka wa Tanzania na Msumbiji haitabiriki

    Kila km 5 mbele nyuma kushoto na kulia zijengwe police stations Kisha police wantakao kuwa kwenye vituo hivyo wawe ni soldiers walio valia sale za jeshi la police Na vituo hivyo viwe na siraha za kivita kwa Siri sio Kama zile za kuwatishia wanywa gongo pale uyole kingani
  9. K

    Yesu alikuwa naMajibu ya Kibabe sana 😂😂😂

    Mimi Huwa na mwitaga genius kasoro media😆😆
  10. K

    Kwa Mfanyabiashara Anaeweza Kuzalisha 1m kwa Mtaji wa 5m kwa wiki

    Kama ata kuwepo mtu wa kufanya biashara Kama hiyo Basi huyo atakuwa taperi mwenzio
  11. K

    Kukosa pesa ni kipimo tosha cha kutokuwa na akili

    Sikuzote ukweli haukubariki Ila ukweli ndio huo 🙏🙏
  12. K

    maisha yanazidi kuwa magumu kwangu

    Pole Sana mkuu litakwisha mungu ni mwema
  13. K

    Breakfast yako kuu kwa sasa ni ipi?

    Aiseeh chai Mimi sinywi Huwa nachukua nyanya mbichi,kitunguu,pilipili kidoogo hoho,embe,tango, carrot,limao, vinaoshwa kwa maji Safi vina katwa katwa Kisha vina liwa Kama kachumbali Baada ya Hapo niku nunua chupa za maji mpaka jioni inakuwa ni kazi kazi
  14. K

    Wanafunzi wa vyuo vikuu wainishi maisha ya kifahari sana siku hizi kulikoni

    Japo so wote Wengi wao ni waizi wa mitandaoni na bodies pusher's kwa wakike
Back
Top Bottom