Recent content by Katkit

  1. Katkit

    DP World yashusha meli nzima ya vifaa bandarini, TPA wasema walishakabidhiana tangu April 7

    DPW analipa vizuri kuliko TPA sijui marupurupu mengine
  2. Katkit

    DP World yashusha meli nzima ya vifaa bandarini, TPA wasema walishakabidhiana tangu April 7

    Mkuu nipe email yako nikutumie clip niliyoirekodi kwa simu yangu ikionesha meli iliyobeba baadhi ya mashine kazi za pale Bandarini ikiwasili. Ilikuwa ni three weeks ago. Tatizo wabongo hamtaki kufatilia vitu ila mnajikuta wajuaji. Mpaka sasa watumishi 253 kutoka TPA wamehamia DPW na mshahara wa...
  3. Katkit

    Waziri Jerry Silaa ana kitu, atafika mbali, abarikiwe

    Hao wote wanaompopoa Slaa wanamakandokanndo kwenye ardhi zao 🤣🤣🤣🤣🤣 chuma kipo njiani kuwafikia. Mtaongea Kijapani mwaka huu
  4. Katkit

    Ushauri: Nimeombwa nikatoe ushahidi wa uongo mahakamani, niko njia panda

    They say "What goes around, comes around" Kuna siku watu watasimama kutoa ushahidi wa uongo dhidi yako. Mshirikishe Mungu katika hili. Have a blessed Sunday.
  5. Katkit

    Hodi Hodi Hodi

    Asante sana Mkuu Vincenzo Cassano 😅
  6. Katkit

    Hodi Hodi Hodi

    Pole sana kwa wafiwa aisee.
  7. Katkit

    Hodi Hodi Hodi

    Amina sana Mkuu, hakika atujaalie umri mrefu kwetu sote.
  8. Katkit

    Hodi Hodi Hodi

    Amina kubwa!!
  9. Katkit

    Hodi Hodi Hodi

    Amen!
  10. Katkit

    Hodi Hodi Hodi

    Shukran Mkuu
  11. Katkit

    Hodi Hodi Hodi

    Habari zenu wakuu..... Katkit hapa, baada ya kuugua kwa kipindi kirefu (almost 3 months) namshukuru sana Mungu nimepata nafuu sasa. Ugonjwa usikie kwa jirani aisee, usije ukadharau ugonjwa wowote, hakikisha unawahi hospital unapata tiba mapema kuepuka gharama za ziada. Mungu ni wetu sote!
  12. Katkit

    Physics ni somo gumu sana kuliko masomo yote hapa Tanzania

    Me na HGK yangu sina habari, sikuchosha kichwa wakati nasoma na saizi maisha yanaenda vyedi tuu Alhamdulillah!
Back
Top Bottom