Search results

  1. Katkit

    DP World yashusha meli nzima ya vifaa bandarini, TPA wasema walishakabidhiana tangu April 7

    DPW analipa vizuri kuliko TPA sijui marupurupu mengine
  2. Katkit

    DP World yashusha meli nzima ya vifaa bandarini, TPA wasema walishakabidhiana tangu April 7

    Mkuu nipe email yako nikutumie clip niliyoirekodi kwa simu yangu ikionesha meli iliyobeba baadhi ya mashine kazi za pale Bandarini ikiwasili. Ilikuwa ni three weeks ago. Tatizo wabongo hamtaki kufatilia vitu ila mnajikuta wajuaji. Mpaka sasa watumishi 253 kutoka TPA wamehamia DPW na mshahara wa...
  3. Katkit

    Waziri Jerry Silaa ana kitu, atafika mbali, abarikiwe

    Hao wote wanaompopoa Slaa wanamakandokanndo kwenye ardhi zao 🤣🤣🤣🤣🤣 chuma kipo njiani kuwafikia. Mtaongea Kijapani mwaka huu
  4. Katkit

    Ushauri: Nimeombwa nikatoe ushahidi wa uongo mahakamani, niko njia panda

    They say "What goes around, comes around" Kuna siku watu watasimama kutoa ushahidi wa uongo dhidi yako. Mshirikishe Mungu katika hili. Have a blessed Sunday.
  5. Katkit

    Hodi Hodi Hodi

    Asante sana Mkuu Vincenzo Cassano 😅
  6. Katkit

    Hodi Hodi Hodi

    Pole sana kwa wafiwa aisee.
  7. Katkit

    Hodi Hodi Hodi

    Amina sana Mkuu, hakika atujaalie umri mrefu kwetu sote.
  8. Katkit

    Hodi Hodi Hodi

    Amina kubwa!!
  9. Katkit

    Hodi Hodi Hodi

    Amen!
  10. Katkit

    Hodi Hodi Hodi

    Shukran Mkuu
  11. Katkit

    Hodi Hodi Hodi

    Habari zenu wakuu..... Katkit hapa, baada ya kuugua kwa kipindi kirefu (almost 3 months) namshukuru sana Mungu nimepata nafuu sasa. Ugonjwa usikie kwa jirani aisee, usije ukadharau ugonjwa wowote, hakikisha unawahi hospital unapata tiba mapema kuepuka gharama za ziada. Mungu ni wetu sote!
  12. Katkit

    Physics ni somo gumu sana kuliko masomo yote hapa Tanzania

    Me na HGK yangu sina habari, sikuchosha kichwa wakati nasoma na saizi maisha yanaenda vyedi tuu Alhamdulillah!
  13. Katkit

    Tulifika Dar saa 9 usiku kutoka Zanzibar, kitu cha ajabu tukaambiwa kushuka ni saa 12 asubuhi

    Huo utaratibu upo tangu 2005 mimi nilipoanza kusafiri majini. Halafu usisingizie ulichelewa boti, wote tunajua nauli ya usiku ni cheap sana compared na za asubuhi - mchana. Tafuta hela uache malalamiko. Usiku ni spesho kwa kusafirisha mizigo.
  14. Katkit

    Madereva wa mikoani, tabia na utaratibu wa kupaki mabasi sehemu ya chakula chenye bei juu mnaumiza abiria wenye kipato kidogo

    Binafsi sioni gharama kama kuna huduma nzuri, ishu ni dereva kupaki gari sehemu ambayo huduma ni mbovu, hii huwa inanikwaza sana kmmk. Mfano kuna upumbavu upo pale Mdaula kwa mbele kama unatokea DSM au Ubena kwa mbele kama unatokea Moro, ule mgahawa pale ni takataka ***** zao. Huwa napenda sana...
  15. Katkit

    Upotoshaji wa BBC world news kuwa unguja ipo Kenya niwamaksudi

    Hiyo ni kawaida ya Ubongo kujiongezea maneno baada ya kusoma herufi ya kwanza inakudirect kwenye database ya maneno yote uliyowahi kuyaona then inachagua moja ambalo linataka kufanana na hilo unaloliona.
Back
Top Bottom