Hodi Hodi Hodi

Katkit

JF-Expert Member
Mar 12, 2023
1,895
4,599
Habari zenu wakuu.....
Katkit hapa, baada ya kuugua kwa kipindi kirefu (almost 3 months) namshukuru sana Mungu nimepata nafuu sasa.

Ugonjwa usikie kwa jirani aisee, usije ukadharau ugonjwa wowote, hakikisha unawahi hospital unapata tiba mapema kuepuka gharama za ziada.

Mungu ni wetu sote!
 
Pole ndugu

Mwenyezi Mungu akupe afya na nguvu

Ugonjwa usikie TU jion hii nimepewa taarifa ya msiba wa workmate na best angu kafiwa na MUMEWE hapo muhimbili...

Ni Maumivu Sanaa
 
Nawe waendeleaje mkuu?
Naendelea kurecovery still naendelea na mazoezi ya kukanyagia mguu saivi naweza kukaa

Saivi hata kula nakula kweli kweli pia nimeacha kunywa madawa ya Maumivu naona nuru sio Kama mwezi ulio pita nilikua na Maumivu Sanaa

Mungu Ni mwema WAKATI WOTE WAKATI WOTE Mungu Ni mwema
 
Habari zenu wakuu.....
Katkit hapa, baada ya kuugua kwa kipindi kirefu (almost 3 months) namshukuru sana Mungu nimepata nafuu sasa. Ugonjwa usikie kwa jirani aisee, usije ukadharau ugonjwa wowote, hakikisha unawahi hospital unapata tiba mapema kuepuka gharama za ziada.
Mungu ni wetu sote!
Kuugua ni Ibada,

Pole sana rafiki,Mungu azikumbuke sadaka zako na kuzitakabali dhabihu zako.
Mungu aikumbuke siku ya dhiki yako,Mungu akuponye na kukuongezea siku nyingi za kuishi Kama alivyomuongezea mfalme hezekia.
 
Back
Top Bottom