Pole m....192,
In that case you have a serious problem na skin yako,when you have time niandikie history(ilianza lini,your age,kama una any skin problem etc)na uko wapi nitai fwd kwa watu fulani.
Cheers.
Mbona ana IDs 2 shingoni-meaning?
Simsemehi huyu ndg ila niliwahi kumuona wa hivyo ila alikuwa na kofia yenye picha ya mgombea urais wa CCM na ameshika bango la Mbunge wa chama cha upinzani,nilipomuulzai akasema, yeye kura yake ya Ubunge anampa mbunge wa chama cha upinzani lakini ya uraisi...
Asante mkuu dawa(Aspirin) Thx lakini usidhani jinsi nyie mlio maternity mnavyopiga story na huku tuliko ss mambo ni sawa,toka huko ukimaliza shughuli!uje juani.:bathbaby:
Mama Beto-majina yote yakubali, ukiishaingia hapa tegemea kila jina, ushauri wangu kama isingekuwa madeni,ungeiuza kama scaraper ungepata pesa nyingi zaidi,waite usikie watakupa ngapi.
Mbona sijaona tatizo,hii tender si ya kuuza gari i.e anauza gari kwa tender.?*?mtaingia kwenye tender na hatimaye atachagua 1. Naona hata serikali,balozi nyingi zinatangaza tender-naomba nikosolewe kama nimekosea.:tape:
Tunakushukuru Mkuu Buswele,
Haswa kwa muda wako na kwa uzalendo-watu kama nyinyi ndio mnapashwa kuzidishiwa mara 10 ya mlichonacho,sio wale -ve characters au kina RC( roho cashewnut)
Wana JF naomba kujua wapi(kama mgonjwa anaishi Mwenge,DSM,TZ) anaweza kupata ushauri wa mwanzo kuhusu cha kufanya all the basics hata kama ni hapa jukwaani, kwa mtu ambaye matokeo kuwa ni HIV positive mapema, mojawapo ya vitu ninavyotaka kujua niwapi wanatoa msaada wa mawazo i.e like vyakula...
Wanaumeeeeee! hivi mwanamue suruali ni yupi??:confused2:
Maana US ili mradi umesoma na unaweza kukaaa na watoto ukawafundisha a,b,c kina mama walioachika wenye mipesa na kazi nzuri watakutamani kweli ukakae ule bure,uogeshwe,upewe penzi etc kazi yako ni kumpeleka mtoto skuli na kucheza nae na...
Fidel,
Kwanini binadamu hujitakia matatizo?Kukomboa gari katika aliyoyasema hapo juu(duties,port charges na registartion)in total inazidi bei hiyo hapo juu.
Sasa ukitangaza unataka gari ya bei hiyo basi uwe tayari kununua gari la wizi (mtu kauawa kesi ikuangukie), BOVU -KILA SIKU GARAGE(ujikute...
Mkuu Mbu, Malila na wengine waliochangia.,
Ni kweli hii thread naona its the hottest kwenye JF.
Namshukuru Malila kwa kuwa muwazi kinyume na wengi wetu. Na la maana zaidi ni kuwa tayari kuwa mshauri" mentor "wa wana JF wote bila gharama.
Mbu biashara ziko nyingi lakini shidkubwa kwa Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.