Search results

  1. K

    Re: Msaada wenu jamani

    Pole m....192, In that case you have a serious problem na skin yako,when you have time niandikie history(ilianza lini,your age,kama una any skin problem etc)na uko wapi nitai fwd kwa watu fulani. Cheers.
  2. K

    Imenifurahisha hii lakini sijaielewa

    Mbona ana IDs 2 shingoni-meaning? Simsemehi huyu ndg ila niliwahi kumuona wa hivyo ila alikuwa na kofia yenye picha ya mgombea urais wa CCM na ameshika bango la Mbunge wa chama cha upinzani,nilipomuulzai akasema, yeye kura yake ya Ubunge anampa mbunge wa chama cha upinzani lakini ya uraisi...
  3. K

    Mganyizi nakutafuta

    Asante mkuu dawa(Aspirin) Thx lakini usidhani jinsi nyie mlio maternity mnavyopiga story na huku tuliko ss mambo ni sawa,toka huko ukimaliza shughuli!uje juani.:bathbaby:
  4. K

    Nauza gari ndugu zangu

    Mama Beto-majina yote yakubali, ukiishaingia hapa tegemea kila jina, ushauri wangu kama isingekuwa madeni,ungeiuza kama scaraper ungepata pesa nyingi zaidi,waite usikie watakupa ngapi.
  5. K

    Nauza gari ndugu zangu

    Mbona sijaona tatizo,hii tender si ya kuuza gari i.e anauza gari kwa tender.?*?mtaingia kwenye tender na hatimaye atachagua 1. Naona hata serikali,balozi nyingi zinatangaza tender-naomba nikosolewe kama nimekosea.:tape:
  6. K

    Mganyizi nakutafuta

    Wana JF naomba msaada,namtafuta ndg Mganyizi-sina njia zaidi ya hii,hataki PM. Natanguliza shukurani. K.
  7. K

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Tunakushukuru Mkuu Buswele, Haswa kwa muda wako na kwa uzalendo-watu kama nyinyi ndio mnapashwa kuzidishiwa mara 10 ya mlichonacho,sio wale -ve characters au kina RC( roho cashewnut)
  8. K

    Part time IT Support administrator required

    Njaa njaa njaa baba !ukiwa na njaa unatumia miguu na mikono tu.!
  9. K

    Jamani huyu Kafa au ndio yupo Kitandani hapooooooooooooooooooo

    Hivi hawezi kuwa ni mgonjwa na ni kwamba amezidiwa na ugonjwa?au jamaa alimpima kujua kuwa amekunywa?
  10. K

    HIV-new case

    Wana JF naomba kujua wapi(kama mgonjwa anaishi Mwenge,DSM,TZ) anaweza kupata ushauri wa mwanzo kuhusu cha kufanya all the basics hata kama ni hapa jukwaani, kwa mtu ambaye matokeo kuwa ni HIV positive mapema, mojawapo ya vitu ninavyotaka kujua niwapi wanatoa msaada wa mawazo i.e like vyakula...
  11. K

    Nahitaji mwanaume alietaliki au kufiwa na mkewe

    Wanaumeeeeee! hivi mwanamue suruali ni yupi??:confused2: Maana US ili mradi umesoma na unaweza kukaaa na watoto ukawafundisha a,b,c kina mama walioachika wenye mipesa na kazi nzuri watakutamani kweli ukakae ule bure,uogeshwe,upewe penzi etc kazi yako ni kumpeleka mtoto skuli na kucheza nae na...
  12. K

    natafuta gari ya kununua

    Fidel, Kwanini binadamu hujitakia matatizo?Kukomboa gari katika aliyoyasema hapo juu(duties,port charges na registartion)in total inazidi bei hiyo hapo juu. Sasa ukitangaza unataka gari ya bei hiyo basi uwe tayari kununua gari la wizi (mtu kauawa kesi ikuangukie), BOVU -KILA SIKU GARAGE(ujikute...
  13. K

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    BJ naona una uwezo wa kufuatilia kweli kama jamaaa kishawekeza, hapo hajavuna akivuna ana usalama kweli-ahaaaaaaaaaaaaaaaha
  14. K

    Mtaji wa Milioni 5-10 (TZS): Biashara gani unaweza kufanya?

    Mkuu Mbu, Malila na wengine waliochangia., Ni kweli hii thread naona its the hottest kwenye JF. Namshukuru Malila kwa kuwa muwazi kinyume na wengi wetu. Na la maana zaidi ni kuwa tayari kuwa mshauri" mentor "wa wana JF wote bila gharama. Mbu biashara ziko nyingi lakini shidkubwa kwa Tanzania...
  15. K

    I am getting married

    :confused2:,BM +Double NN, I can imagine what kids will come out of that wedding! Can I adopt 1?if you get tripplets?:cheer2:
  16. K

    My sister is looking for a tempo

    Mfunyukuzi-nimemtafutia kazi,kama yuko tayari. Anaweza kuuza duka duka la spares?Yuko mji gani na anaishi wapi(just area tu bila mitaa etc-tuangalie urahisi wa mitaa na logistics za usafiri?Na mshahara wa 70 elfu,masaa 8 kwa siku yuko tayari?Kama ni sawa ani PM.nimuelekeze. Kama sie kama yuko...
  17. K

    Wababa wanaotembea na mabinti zao...!

    ndg iza inaweza kuwa ni joke lakini niliwahi kumuuliza jamaa akajibu akasema dawa ni ndogo-if you are very hand some don't get married to a very beautiful laddy(miss Tz standard) and vice versa. Ambao hamjaoa you loose nothing kwenye hili -AU?:embarrassed1: K
  18. K

    My story

    Pole Chige, If I may know the location of your college,I might find you a room for that matter for 6 month. This is a Forum,any one can contribute what he think is right for you. Its like you have 10 tapes all giving different quality water-you just choose which you think is clean. All the...
  19. K

    Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

    Lovejapan2-what you are saying might have some meaning,but there are also people who would preferred to have people like this guy who could save you all those hustle for chasing where is the car today,has it been shipped,where are the BOL etc. Some people say if you are ordering a 50,000US$...
  20. K

    Kuna aliyewahi kuingiza gari kutoka Japan?

    Ndugu yangu Amoeba, wala comment yako hata sikui ona/soma. Niombe radhi kwa kusema naropoka. Pamoja na kuwa sikukulenga wewe umejitetea bila kutuhumiwa, hayo mliyozozana hata sikuyaona na kwa maana hiyo sina hata haja ya kukuonyesha kitu. Nisamehe kama kwenye maandishi yangu nilionyesha...
Back
Top Bottom