VACANCIES ANNOUNCEMENT
On behalf of Tanzania Tourist Board (TTB), Public Service Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanians to fill 1 vacant post in the above Public Institution
Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) anawatangazia wasailiwa wote waliofaulu usaili wa mahojiano uliofanyika kuanzia tarehe 19 - 20 Desemba, 2014 kuripoti kazini kuanzia tarehe 08 Januari, 2015.
http://www.tanzaniatouristboard.com/news/Documents/KUITWAKAZINI.pdf
Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB)
anawatangazia matokeo Wasailiwa wote waliofanya mtihani wa mchujo
uliofanyika Siku ya Jumamosi tarehe 13 Desemba, 2014
http://www.tanzaniatouristboard.com/news/Documents/USAILI.pdf
Bodi ya Utalii Tanzania TTB, imetangaza majina ya walioitwa kwenye usaili wa mchujo. Taarifa kamili kupitia kwenye tovuti yao http://www.tanzaniatouristboard.com/news/Documents/Aptitute.pdf au fb page yao https://www.facebook.com/TanzaniaTouristBoard
Kupitia link ya Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) majina ya walioitwa kwenye usaili wa mchujo wa awali watangazwa.
Tazama http://www.tanzaniatouristboard.com/news/Documents/Aptitute.pdf
au kwenye fb page yao https://www.facebook.com/TanzaniaTouristBoard
Wadau naomba nielimishwe. Hivi huyu Makonda ni nani hasa kwenye nchi hii. Sina uhakika kama matusi na sasa kipigo anachotoa hadaharani na sio kwa kiongozi wa nchi mstaafu, hata angemfanyia mtu wa kawaida nafikiri sio sahihi kufanya shambulio kama hilo. Inawezekana serikali na vyombo vyake...
Kama vile ulikuwa kwenye fikra zangu. Njaa na kutaka kujihakikishia maisha kiujanja ujanja ndio tatizo la vijana wengi. Hata waliosoma wanalazimika kujizalilisha na kujiweka karibu na jiko ili waambulie angalau kidogo. Hata waliopewa uongozi wengi uwezo wao wa kufikiri ni mdogo mno. Itachukua...
Tunatoa mafunzo ya muziki kwa watoto wadogo kuanzia umri wa miaka 4. Masomo hayo ni kujifunza kupiga keyboard (piano), ngoma na kuimba.
Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa 0778350664.
Kwa taarifa tu, kuna wafanyakazi tunadai malipo ya elfu 30,000 tu tangu 2009 hadi leo. Kila siku serikali haina hela, kufikia leo ni asilimia 10 tu ya bajeti ya shirika ndio imetoka wakati mwaka unaisha. Hivi hizo safari na hizo posho za waheshimiwa nao wanakopwa kama sisi wanyonge?
awe na cheti cha ualimu wa awali (early childhood education)
aweze kuzungumza kiingereza kwa ufasaha
awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja
awe raia wa Tanzania
awe mchapakazi, anayejituma na aliye tayari kuelekezwa
kwa maelezo zaidi piga 0778350664
shule ipo Dar-es-salaam
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.