Search results

  1. K

    Nafasi ya kazi - Mkurugenzi Mwendeshaji - Bodi ya Utalii Tanzania

    VACANCIES ANNOUNCEMENT On behalf of Tanzania Tourist Board (TTB), Public Service Recruitment Secretariat invites qualified Tanzanians to fill 1 vacant post in the above Public Institution
  2. K

    Kuitwa kazini - Bodi ya Utalii - (TTB)

    Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) anawatangazia wasailiwa wote waliofaulu usaili wa mahojiano uliofanyika kuanzia tarehe 19 - 20 Desemba, 2014 kuripoti kazini kuanzia tarehe 08 Januari, 2015. http://www.tanzaniatouristboard.com/news/Documents/KUITWAKAZINI.pdf
  3. K

    Mtokeo ya USAILI Bodi ya Utalii TTB

    Baada ya usaili wa awali wa mchujo, hatimaye walioitwa kwenye usaili wako hapa. http://www.tanzaniatouristboard.com/news/Documents/USAILIoral.pdf
  4. K

    Mtokeo ya USAILI Bodi ya Utalii TTB

    Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) anawatangazia matokeo Wasailiwa wote waliofanya mtihani wa mchujo uliofanyika Siku ya Jumamosi tarehe 13 Desemba, 2014 http://www.tanzaniatouristboard.com/news/Documents/USAILI.pdf
  5. K

    TTB watangaza walioitwa kwenye usaili

    Bodi ya Utalii Tanzania TTB, imetangaza majina ya walioitwa kwenye usaili wa mchujo. Taarifa kamili kupitia kwenye tovuti yao http://www.tanzaniatouristboard.com/news/Documents/Aptitute.pdf au fb page yao https://www.facebook.com/TanzaniaTouristBoard
  6. K

    Kuitwa kwenye usaili Bodi ya Utalii Tanzania

    Kupitia link ya Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) majina ya walioitwa kwenye usaili wa mchujo wa awali watangazwa. Tazama http://www.tanzaniatouristboard.com/news/Documents/Aptitute.pdf au kwenye fb page yao https://www.facebook.com/TanzaniaTouristBoard
  7. K

    CCM waleta vurugu kwenye Kongamano la taasisi ya Mwl/Nyerere, Makonda ahusishwa kumpiga Warioba

    Wadau naomba nielimishwe. Hivi huyu Makonda ni nani hasa kwenye nchi hii. Sina uhakika kama matusi na sasa kipigo anachotoa hadaharani na sio kwa kiongozi wa nchi mstaafu, hata angemfanyia mtu wa kawaida nafikiri sio sahihi kufanya shambulio kama hilo. Inawezekana serikali na vyombo vyake...
  8. K

    Habari na Picha: Vijana kwa maelfu washiriki matembezi ya Uzalendo na kupokelewa na Rais Kikwete

    Kama vile ulikuwa kwenye fikra zangu. Njaa na kutaka kujihakikishia maisha kiujanja ujanja ndio tatizo la vijana wengi. Hata waliosoma wanalazimika kujizalilisha na kujiweka karibu na jiko ili waambulie angalau kidogo. Hata waliopewa uongozi wengi uwezo wao wa kufikiri ni mdogo mno. Itachukua...
  9. K

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Jamani tuna omba clip ya LISU na tutaitangaza nchi nzima.
  10. K

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Inauma sana, kodi tunazokatwa kwa ajili ya kuendesha chombo hicho halafu wanatunyima habari kwa maslahi ya CCM. MLAANIWE WOTE!
  11. K

    Yanayojiri Bungeni Dodoma: Jumamosi, Tarehe 12 Aprili 2014 - Uwasilishaji wa Taarifa za Kamati

    Wadau vipi ni kweli matangazo ya TBC toka Bungeni yamekatika au yamekatwa? Au LISU anavua koti issue ya muungano?
  12. K

    Mafunzo ya Muziki kwa Watoto

    Tunatoa mafunzo ya muziki kwa watoto wadogo kuanzia umri wa miaka 4. Masomo hayo ni kujifunza kupiga keyboard (piano), ngoma na kuimba. Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa 0778350664.
  13. K

    Mwalimu wa muziki - Dar-es-salaam

    Mwalimu wa muziki mwenye uwezo wa kufundisha watoto wadoto anahitajika. Kwa mawasiliano piga namba 0778350664
  14. K

    Posho ya 300,000/- kwa siku kwa kila Mjumbe wa Bunge la Katiba ni kubwa!

    Kwa taarifa tu, kuna wafanyakazi tunadai malipo ya elfu 30,000 tu tangu 2009 hadi leo. Kila siku serikali haina hela, kufikia leo ni asilimia 10 tu ya bajeti ya shirika ndio imetoka wakati mwaka unaisha. Hivi hizo safari na hizo posho za waheshimiwa nao wanakopwa kama sisi wanyonge?
  15. K

    Mwalimu wa shule ya awali anahitajika haraka

    awe na cheti cha ualimu wa awali (early childhood education) aweze kuzungumza kiingereza kwa ufasaha awe na uzoefu usiopungua mwaka mmoja awe raia wa Tanzania awe mchapakazi, anayejituma na aliye tayari kuelekezwa kwa maelezo zaidi piga 0778350664 shule ipo Dar-es-salaam
  16. K

    Comment on this Slogan: "Tanzania, Feel Greet With Friends!"

    I strongly believe that hadi wahusika wameleta huku wametambua mchango wa forum hii so tusaidie kama think tanks kuendeleza na kuboresha walichoanzisha. Pia muda wa kutuma mawazo kupitia barua pepe brand@tanzaniatourism.go.tz umesogezwa hadi tare 15 September 2011. Tafadhali tuchangie mawazo...
Back
Top Bottom