Recent content by KakaJambazi

  1. KakaJambazi

    "Baby umependeza" Je umechangia sh ngapi au umenunua kipi? Wanaume mnaboa

    Kwa iyo akishakua mpenzi wako, unakua yatima?
  2. KakaJambazi

    Wanaume mkipepeta mdomo mjue na kutenda; “what a waste of sin”

    Wakati mwingine huwezi kwenda extra miles, iwapo utakutana na uchi au mdomo unaotema.
  3. KakaJambazi

    Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

    Nitafanya ivo kwa mwanamke ambaye ni bikra, mwenye miaka kuanzia 28 na kuendelea.
  4. KakaJambazi

    Kodtec Speaker systems

    Kenya sehemu zipi?
  5. KakaJambazi

    UJENZI: Tazama picha rangi mbalimbali za kupaka nje ya nyumba yako

    Hii rangi inaitwaje na ni ya kampuni gani? au ni namba ngapi?
  6. KakaJambazi

    Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

    Na ukweli ni kwamba, siku akivamiwa, mwenye gorofa ndio ana chansi kubwa ya kuwaona panya road kuliko yeye.
  7. KakaJambazi

    Jirani yangu anajenga ghorofa, ananipa mawazo sana

    Sasa atakufanyaje wakati amekuzidi kiuwezo? Au usalama gani unaouongelea? ghorofa kukuangukia?
  8. KakaJambazi

    Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

    Pressure ikiwa sawa inasaidia nini? yakiwa yote ya duara, au mraba kutakua na madhara gani?
  9. KakaJambazi

    Wanawake ambao tumewahi kudanganywa tukutane hapa

    Wabunge wangekua wanaongea ukweli wasingekua wanapata kura. Gwajima alituambia atatupeleka marekani kusomea UVUVI, MPAKA LEO HAMNA KITU.
  10. KakaJambazi

    Mwanamke akikuuliza unafanya kazi gani mnachomoka vipi huu mtego?

    Wa ivo huwa wanataka wajue kama utakua na uwezo wa kupigwa mizinga ya kulipia vikoba na mikopo umiza yake.
  11. KakaJambazi

    Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

    Jamaa hana tofauti na Chief-Mkwawa
  12. KakaJambazi

    Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

    Je inewezekana uka-interchange, kazi ya soak way pit ikafanywa na septic tank? au kwanini yanamaumbo tofauti kitaalanu? yakiwa duara yote au mstatili yote uchakataji utakuaje?
  13. KakaJambazi

    Ramani, Makadirio, Elimu na Ushauri kuhusu Ujenzi

    Ungeweka picha mkuu ingesaidia sana.
  14. KakaJambazi

    Kwa bajeti ya milion 2 niwekeje ghetto liwe Kali?

    Anza sabufa ya laki 120 ya mchina uwe unaweka masingeli
Back
Top Bottom