Recent content by kaburungu

  1. kaburungu

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    I thought kuna episode ya 11, anyway good move.
  2. kaburungu

    Msaada Jinsi ya kupata simu iliyoibwa

    Mkuu how? Detail zote ninazo unaweza fanya hizi mambo?
  3. kaburungu

    Msaada Jinsi ya kupata simu iliyoibwa

    Mimi niliibiwa Redmi note 11 Pro, Dec 24 mwaka jana hadi leo hii sijaipata. Police nilienda majibu haionekani kwenye system, endelea kukumbusha wahusika wanao trace pengine inaweza kuwa bahati yako ukaipata. Pole
  4. kaburungu

    Nataka kuachana na mke tuliyezaa naye watoto watatu. Amenishinda tabia!

    Si ndio hapo sasa huyu bado anampenda huyo mwanamke.
  5. kaburungu

    Nataka kuachana na mke tuliyezaa naye watoto watatu. Amenishinda tabia!

    Ukiweza kuwa kama mtume Paulo, alisema ukiona huwezi kuoa acha, huo unaoita mtafaruku ipo kila eneo la maisha mzee, kazini utaikuta, nyumbani ndio kama hivi, kwenye familia yenu hukosi mtafaruku kifupi ni kupambana.. La ukiona ya shingo ruksa kubadilisha gear na sio kukwepa pambano, grow up.
  6. kaburungu

    Nataka kuachana na mke tuliyezaa naye watoto watatu. Amenishinda tabia!

    Yani sijui watu wengine wakoje, huyo ni kufukuza sio kuacha. Aina hii ya wanaume wanafeli pakubwa!! Anyway Yanga bingwa tena.
  7. kaburungu

    Tundu Lissu aendelea kushambuliwa mitaani kwa kauli zake za kibaguzi na chuki

    Sema hatopata uungwaji mkono toka CCM wasiojitambua na sio watanzania, unajipa cheo cha kunisemea. Kingine punguza kuandika migazeti, ni dalili kuwa uwezo wako wa akili mdogo.
  8. kaburungu

    Kuna shida gani kwenye matikiti maji ya wakati huu?

    We jamaa fala sana 🤣🤣🤣
  9. kaburungu

    FT: Yanga SC 1-0 Kagera sugar Fc | NBC Premier League | Azam Complex | 08.5.2024

    Kwa hiyo haya ndio majukumu? Kaa kwa kutulia dunduka mkubwa wewe
  10. kaburungu

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Allen Kilewella kama unaweza wapostie wadau video mie bado sijatoka nyumbani
  11. kaburungu

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Aisee kwa Mfamiko kulikuwa na trekta? Kwamba trekta ndo linaokoa watu!! Anyway soon ntatoka kuelekea mjini. Vipi pale kwenye yard ya Mose panapitika? Last time kulikuwa na jam ya kufa mtu
  12. kaburungu

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Sijafika eneo la tukio nikifanikiwa kufika ntaweka
  13. kaburungu

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Mkuu hatari hii mvua toka juzi inapiga, juzi nilikuwa Mang'ula mvua ilianza kunyesha na ilikuwa kubwa. Narudi Ifakara napo nakuta mvua na ilikesha, jana tumeshinda nayo its obvious mto lazima ufurike TMA nao wanasema itanyesha hadi tar11 hii ni balaa sasa.
  14. kaburungu

    Haya mafuriko ya leo Ifakara ni hatari

    Una taarifa kuwa usiku wa kuamikia leo Lumemo imetapika? Haya sasa pengine yanaweza kuzidi yaliyopita kwa sababu mto haukupungua maji na sasa yameongezeka tena. Hali sio hali ni balaa
Back
Top Bottom