Mimi niliibiwa Redmi note 11 Pro, Dec 24 mwaka jana hadi leo hii sijaipata. Police nilienda majibu haionekani kwenye system, endelea kukumbusha wahusika wanao trace pengine inaweza kuwa bahati yako ukaipata.
Pole
Ukiweza kuwa kama mtume Paulo, alisema ukiona huwezi kuoa acha, huo unaoita mtafaruku ipo kila eneo la maisha mzee, kazini utaikuta, nyumbani ndio kama hivi, kwenye familia yenu hukosi mtafaruku kifupi ni kupambana.. La ukiona ya shingo ruksa kubadilisha gear na sio kukwepa pambano, grow up.
Sema hatopata uungwaji mkono toka CCM wasiojitambua na sio watanzania, unajipa cheo cha kunisemea. Kingine punguza kuandika migazeti, ni dalili kuwa uwezo wako wa akili mdogo.
Aisee kwa Mfamiko kulikuwa na trekta? Kwamba trekta ndo linaokoa watu!! Anyway soon ntatoka kuelekea mjini. Vipi pale kwenye yard ya Mose panapitika? Last time kulikuwa na jam ya kufa mtu
Mkuu hatari hii mvua toka juzi inapiga, juzi nilikuwa Mang'ula mvua ilianza kunyesha na ilikuwa kubwa. Narudi Ifakara napo nakuta mvua na ilikesha, jana tumeshinda nayo its obvious mto lazima ufurike
TMA nao wanasema itanyesha hadi tar11 hii ni balaa sasa.
Una taarifa kuwa usiku wa kuamikia leo Lumemo imetapika? Haya sasa pengine yanaweza kuzidi yaliyopita kwa sababu mto haukupungua maji na sasa yameongezeka tena. Hali sio hali ni balaa
Kuna chanel inaitwa investigation discovery wale jamaa wako very professional linapofika swala la uchunguzi. Kama wanachunguza jambo ikatokea kuna mtu ana maelezo kuwapa mwanga wa tukio wanampa ushirikiano mkubwa, huku kwetu maraia wanaogopa sababu ya mambo kama haya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.