Ni mazuri mkuu azima siku hata Jeep Grand Cherokee moja la mtu uendeshe upate Hemi la 5.7L, 6.2L au 6.4L
Kuhusu mafuta usituulize.
Ukiweza kujichanga Nunua Wrangler miaka michache nyuma ilikuwa ndio gari yenye depreciation value ndogo kuliko gari yoyote hata Toyota zilikuwa hazitii mguu...
Ila kuanzia BM za 2015 naona kuna uafadhali ukilinganisha na hizi za early 2000.
Pia kwa Audi na VW kuanzia 2013 nao engine zao hazina majanga majanga labda mambo mengine.
Mfano audi Q5 gari ina bonge moja la engine ila Gearbox kimeo.
Hii yako inakula vizuri sana.
Nina mjerumani Cc2000 anakula 5Km/L kwenda kazini na kurudi ni 18km.
Ili niende kazini kila siku na gari basi ni mafuta ya 20k
Jambo la kuepuka ni kuweka masega ya kuchomelea iwapo engine ya gari yako itakuwa na EGR.
EGR huwa inarudisha kiasi fulani cha moshi kwenda mahali ambako mafuta yanaungua(combustion chamber), kwa ajili ya kupunguza joto(combustion temperature) hivyo kupunguza pia kutengenezwa kwa Nitrogen Oxide...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.