Recent content by INSIDER MAN

  1. INSIDER MAN

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    SEASON 02: CHAPTER 10 “A TRUE STORY BY INSIDER MAN” Mimi nilikwenda kuoga na baada ya kutoka washroom nilikuta Iryn hayupo na mimi nilijua ameondoka kurudi kwao, ni wivu wake ulikuwa una msumbua. Pale kitandani kulikuwa na karatasi nyeupe ameiandika na niliichukua ili nisome alichoniandikia...
  2. INSIDER MAN

    Kutofanya mapenzi kwa muda mrefu kuna athari zipi kwa mwanaume?

    Ndo nyie mnaobak watoto zetu, unakuwaje single?
  3. INSIDER MAN

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Fanya Research viwanja vya dizaini hii vinakuwa na fujo sana, hakuna ustaarabu.
  4. INSIDER MAN

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Arsenal akichukua ubingwa J2, nitapost picha nikiwa na Iryn kwa dakika 1 na nitaifuta. Otherwise tukutane kesho kwa chapter 10 ✅
  5. INSIDER MAN

    AJALI za Barabarani: Tatizo sio Polisi, Serikali oneni AIBU rekebisheni miundombinu! barabara ni mbovu sana

    Kama Masaki na Orysterbay kuna mashimo mpaka sasa hawajaziba unategemea huko wataziba?
  6. INSIDER MAN

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Bora hata wewe uliye shukuru, tukutane J5.
  7. INSIDER MAN

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Mtandao leo unazingua nimepost muda sana kumbe haijafika 🙌🏿
  8. INSIDER MAN

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    SEASON 02: CHAPTER 09: BY INSIDER MAN PREVIOUS Niliona sometimes kama mwanaume inatakiwa kuwa na maamuzi magumu, nibora mama ajue mapema kinachoendelea before it’s too late na maamuzi yafanyike mapema. Kwa upande mwingine simu yangu ilianza kuita na kucheki ni Iryn alikuwa anapiga na...
  9. INSIDER MAN

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    😂😂😂😂 Ila nikimaliza hii story kuna watu nitaonana nao hata tupate drinks kwa pamoja, hili na promise kuna watu nitaonana nao.
  10. INSIDER MAN

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kesho mapema sana baada ya kutoka church tutaendelea. Ungekuwa wewe ndo Insider ungekubali kwenda Ethiopia??
  11. INSIDER MAN

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Hii hospital ina history kubwa sana kwangu🙌🏿
  12. INSIDER MAN

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Malizia awe mzuri kuzidi Iryn hapo ndo ntaruka naye😂
  13. INSIDER MAN

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Kaka sijawahi tumia Samsung katika history ya maisha yangu. Kama unataka kuniona uwe unatega NBAA mostly nakwenda pale kujisomea.
  14. INSIDER MAN

    Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Hahahaa hii Audi ni unique sana hapa Dar nafikiri ipo moja tu. Nyingi ni old model hapa mjini
Back
Top Bottom