Recent content by IBRA wa PILI

  1. IBRA wa PILI

    Naombeni darasa kuhusu hii mifumo ya simu ya sasa na zamani

    Du nimekuelewa mkuu Ila wabongo wengi ndio tunacheza humo sasa kama ni wwe oppo a31 na oppo f11 unaenda na ipi? iyo a31 ndio natumia ile ambay imegoma kweny Wi-Fi na iyo f11 ndio nilitaka nichukue
  2. IBRA wa PILI

    Naombeni darasa kuhusu hii mifumo ya simu ya sasa na zamani

    Mambo vipi wakuu hapa juzi Kati nilinunua simu ya redmi used note 12 5g ushauri alinipa mkuu Chief-Mkwawa hii simu nimeuza baada ya mwama mmoja kuja na dau kubwa zaidi ya lile nililo nunulia. Sasa kivumbi kipo hapa ambapo nimetoka kapa na nahitaji darasa kubwa Tu na wadau wengine pia watapata...
  3. IBRA wa PILI

    Mchepuko kaomba godoro, wapi nitapata kava nzuri za godoro niweke kwenye godoro ambalo silitumii

    Usisahau na nailoni la kupachikia na risiti feki unampa ana jua kitu new
  4. IBRA wa PILI

    Motsepe akili goli la Azizi Ki lilikuwa halali kabisa

    Saidoo alipiga foul nzuri mechi ya Simba na Dodoma jij nilifikiri goli kumbe iligonga mwamba Bana na Mimi ni shabiki sina cha kufanya.
  5. IBRA wa PILI

    SOMO LA BURE: Namna ya kuagiza bidhaa kutoka CHINA kwa ajili ya biashara (jumla) Kupitia Mtandao alibaba kwa kutumia simu yako

    Nataka nijue hii kwanini usafiri Alibaba ni ghali mno ? Yani ukitaka sample ata saa ya $2 pc 1 seler atakwambia kuhusu agent wa usafiri akifanya calculation zake ajabu inakuja samp $2 usafiri $50 Tofauti na Ali express unachukua mzigo labda flash ya $2 pc1 na unakuta usafir labda 800 na unalipa...
  6. IBRA wa PILI

    Ananikumbuka sana, anajutia sana, majuto kawa mjukuu sasa

    Labda angeitwa jina Hilo yawezekana angekua mkarimu kama Yule alikeua Queen Elizabeth wa uk
  7. IBRA wa PILI

    Ananikumbuka sana, anajutia sana, majuto kawa mjukuu sasa

    Liza Anasema alifanya makosa kingine utoto Tu anasema nilikua mwanaume sahihi kwake mi sijui....... Usikite mbele nami ningekua kivuruge Anasema nimsamehe Sana akili za kitoto Tu zile maisha kwake ovyo ni magumu Sana nimpe chance again wakati anajua tayari nina mke iyo chance nampaje kifupi...
  8. IBRA wa PILI

    Msaada wenyeji wa Ruhuwiko namtafuta ndugu yangu

    Mwalm tawete alifundisha shule gani? Na ni secondary au primary nakumbuka niliwai fundishwa na mwalm tawete primary mfaranyaki Ile shule IPO karibu kabisa na uwanja wa mpira majimaji uyu alikua anakaa maeneo ya lizaboni huko sasa sjui ruhuwiko alikua anafika au aliishia hapo lizaboni ni mmama.
  9. IBRA wa PILI

    Fresh mwambuli akauza mifugo mpenzi aende japani kusoma

    Wakenya katika mitandao ya kijamii wamechangamkia sana wimbo wa Stella Wangu wa mwanamziki mashuhuri wa humu nchini Freshley Mwamburi. Wamechangamkia wimbo huo wakikumbuka leo hii ni tarehe 17 mwezi wa tano mwaka wa 1992 mpenzi wake wa Kenya, Stella, aliposhuka kutoka kwa ndege na mchumba wake...
  10. IBRA wa PILI

    Kibu Denis ni mchezaji kituko aliyeamua kuwa tapeli Simba Sc

    Kibu d mkandaji piga pesa ikiuma kibu kupiga madola kunywa chupa ufe Kufa kabisa
  11. IBRA wa PILI

    Wi-fi problems

    Natumia simu brand ni oppo a 31 , Leo nipo job imegoma Ku connect WiFi sijajua shida nini wenzangu simu zao wanatumia saf mmoja ana oppo A8 lakini yangu ni big no ukiwasha ina connect then later inakuja neno no data connection sijajua natatua vipi wakuu msaada please 🙏 kumbuka WiFi ipo na...
Back
Top Bottom