Recent content by housta

  1. H

    Tanzania yajisifia ku-export ma-hause girl kwenda nchi za kigeni

    Uingereza elimu sio bure,check your facts right.Watu wanasoma kwa mikopo wewe,you will have to pay back later.
  2. H

    PAC ilivyowajaza hasira wananchi

    Tanzania ni ya ajabu sana! Politicians(wote) hawapo in sync na maisha halisi ya Mtanzania. Mambo mengi tunayaweka kichama chama wakati wananchi wanakufa kwa kukosa huduma muhimu. Ukweli ni kuwa politicians wote ni wezi! Kipimo ni level ya wizi wao. Leo hii, 50+yrs baada ya 'Uhuru' CCM ndio...
  3. H

    Panya Road wavamia maeneo ya Magomeni, Mwananyamala na Kinondoni jijini Dar

    Seriously dude? Is that the best you can do?
  4. H

    Maoni ya Wadau baada ya Hotuba ya Rais Kikwete kwa 'Wazee wa Dar' kuhusu Sakata la Tegeta Escrow

    Well,there is no point!Kama kina Mramba, Yona na wengine walitimuliwa na kufikishwa mahakamani kwa ajili ya kulitia taifa hasara na matumizi mabaya ya madaraka,nini kinachozuia kutowafungulia mashitaka hawa waliotajwa? Is there really a point ya kufanya uchunguzi juu ya uchunguzi?Hii yote...
  5. H

    Huyu ndiyo Joseph Selasini ambae alisemwa hapa vibaya na baadhi ya wana CHADEMA

    You are such a fool! A minute ago, you slammed some other dude kuwa ni mpumbavu! And what is this from you? Again,stop ass kissing!
  6. H

    Pinda awasili Doha na msafara wa viongozi 11 wakiwemo mawaziri 5 kutoka Tanzania

    W*T*F are you trying to say? Kwamba ndio alichaguliwa na wananchi na ameisaidia Tanzania kufikia hapa ilipo? Can you really compare Tanzania ya leo na ya hata Mkapa?Stop kissing ass!
  7. H

    Pinda awasili Doha na msafara wa viongozi 11 wakiwemo mawaziri 5 kutoka Tanzania

    Hahahahahahha Dk. Kikwete! Hapo tu panatosha kutoa a blockbuster! Could you be kind enough utumegee title ya thesis yake? No,seriously! This is out of curiosity!
  8. H

    Sakata la Tegeta Escrow: Mengi awavaa Masele, Wassira na Maswi

    Fox News! These are pro-Republicans and they hate the Democrats wazi wazi! They are pro-guns and they do not condone publicly issues za racism! So yes! IPP Media wana every right to stand by Mengi. You want to change that, anzisha na wewe media company
  9. H

    UKAWA tumestuka msitake kutuburuza

    Hivi, what is the point of saying ".... Soon nitaupload..." Kama kweli upo serious kwa nini usiupload as part of your post? Ndio maana most of the times watanzania hatuaminiki! Tunapenda sifa na kujenga hype ya baseless issues! Maybe you really have the stuff u r trying to say but, REALLY...
  10. H

    Leo niliota ndoto mbaya sana

    Stop watching a lot of action/thriller movies! You can only wish for it to happen!
  11. H

    Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

    What a double standard!!!!Kujiuzulu means he will be entitled to all his entitlements pia the way alivyoiweka hiyo resignation message ni kuwa hana kosa(he is 100% right). My question is W***T***F? Yona and Co walifunguliwa mashtaka on the spot,sasa what is the difference btn this and that...
  12. H

    Sakata la ESCROW Bungeni: KUB Mh Freeman Mbowe na team yako Hongereni

    Wengi wa wabunge ni ignorants, hapo nakubaliana nawe BUT that does not make Chenge a genius either! Kwake yeye kusoma Ivy league University does not make him an expert either. Hata mwizi yeyote ukimpa time, right resources, can formulate the best defence!
  13. H

    Hoja za Kamati ya PAC zinavyokinzana kuhusu Escrow akaunti kama ni fedha ya umma

    The fact remains....hakuna mtu aliyeitolea pesa jasho anaweza kumpatia mtu binafsi bilioni 1.6 just like that bila kuwa na ajenda ya siri. Viongozi hawa tumewachagua na kuwapa dhamana ya kutuongoza. Is it right and just for them kuweka maslahi yao binafsi bila kutujali sis watanzania? I respect...
  14. H

    Majibu ya Serikali (Wizara ya Nishati na Madini) kuhusu ripoti ya PAC juu ya Tegeta Escrow Account

    That is exactly what I keep on saying. Porojo zote hizi bungeni mwisho wake ni Serikali inatakiwa ijibu hoja ya msingi kutokana na facts za CAG na PCCB. Wahisani wanayo copy ya ripoti ya CAG. Hii ndiyo repercussion ya kutegemea misaada. And it looks like tax payers in Tanzania are so stupid to...
Back
Top Bottom