Tanzania ni ya ajabu sana! Politicians(wote) hawapo in sync na maisha halisi ya Mtanzania. Mambo mengi tunayaweka kichama chama wakati wananchi wanakufa kwa kukosa huduma muhimu. Ukweli ni kuwa politicians wote ni wezi! Kipimo ni level ya wizi wao. Leo hii, 50+yrs baada ya 'Uhuru' CCM ndio...
Well,there is no point!Kama kina Mramba, Yona na wengine walitimuliwa na kufikishwa mahakamani kwa ajili ya kulitia taifa hasara na matumizi mabaya ya madaraka,nini kinachozuia kutowafungulia mashitaka hawa waliotajwa?
Is there really a point ya kufanya uchunguzi juu ya uchunguzi?Hii yote...
W*T*F are you trying to say? Kwamba ndio alichaguliwa na wananchi na ameisaidia Tanzania kufikia hapa ilipo? Can you really compare Tanzania ya leo na ya hata Mkapa?Stop kissing ass!
Hahahahahahha Dk. Kikwete! Hapo tu panatosha kutoa a blockbuster! Could you be kind enough utumegee title ya thesis yake? No,seriously! This is out of curiosity!
Fox News! These are pro-Republicans and they hate the Democrats wazi wazi! They are pro-guns and they do not condone publicly issues za racism! So yes! IPP Media wana every right to stand by Mengi. You want to change that, anzisha na wewe media company
Hivi, what is the point of saying ".... Soon nitaupload..." Kama kweli upo serious kwa nini usiupload as part of your post? Ndio maana most of the times watanzania hatuaminiki! Tunapenda sifa na kujenga hype ya baseless issues! Maybe you really have the stuff u r trying to say but, REALLY...
What a double standard!!!!Kujiuzulu means he will be entitled to all his entitlements pia the way alivyoiweka hiyo resignation message ni kuwa hana kosa(he is 100% right). My question is W***T***F? Yona and Co walifunguliwa mashtaka on the spot,sasa what is the difference btn this and that...
Wengi wa wabunge ni ignorants, hapo nakubaliana nawe BUT that does not make Chenge a genius either! Kwake yeye kusoma Ivy league University does not make him an expert either. Hata mwizi yeyote ukimpa time, right resources, can formulate the best defence!
The fact remains....hakuna mtu aliyeitolea pesa jasho anaweza kumpatia mtu binafsi bilioni 1.6 just like that bila kuwa na ajenda ya siri. Viongozi hawa tumewachagua na kuwapa dhamana ya kutuongoza. Is it right and just for them kuweka maslahi yao binafsi bila kutujali sis watanzania? I respect...
That is exactly what I keep on saying. Porojo zote hizi bungeni mwisho wake ni Serikali inatakiwa ijibu hoja ya msingi kutokana na facts za CAG na PCCB. Wahisani wanayo copy ya ripoti ya CAG. Hii ndiyo repercussion ya kutegemea misaada. And it looks like tax payers in Tanzania are so stupid to...
It is soooooooo easy to manipulate Tanzanians. Yaani jana tu, watu walikuwa hapa wanalalamika Muhongo out blah blah blah. Leo Muhongo kaongea, watu Mkono afilie mbali. Tunapelekwa kwa upepo. And that is why tunasaini mikataba ambayo haina tija kwa taifa, tunakula pilau na kupewa kofia, kanga na...
I like your stupidity!Serikali imefanya kila njia kukusomesha, probably hata nje ya nchi! Wamekupa kila kitu and the only thing walichokuachia ukifanye ni kunya. I believe this is how you are repaying them. We are all free to express our views.
All banking transactions from all banks in Tanzania are regulated by the Bank of Tanzania. All cheques/transfers are processed by the Tanzanian central bank. Hakuna any international transfer ambayo BoT haijui. I worked in a bank at some point so I know what I am talking about
Weweeee! Acha kutokuelewa. Bunge kama mhimili uliipa mandate PCCB pamoja na CAG kuchunguza,sasa iweje PCCB wachunguze halafu waende mahakamani bila kuwasilisha findings zao kwenye mhimili uliowapa mandate?An you are JF Senior Expert!!!SMH!!!Wewe ukimpa private investigator kazi,akaifanya,do u...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.