Marekani ukiondoa ubabe wa kishamba hana lolote. Power ya mmarekani ni dola yake ambayo inapata nguvu kwa kuchangiws na damu za watu wa mataifa mengine, maana pesa yako ikiimarika tu atatafuta kila mbinu kuingiza chockochocko hilo taifa mpaka izuke vita kama analivofanya iraq, libya na sasa...
Wakuu kwema mm sio mambo mengi kwenye whatsap, naeza tuma sms kwa siku hata 10 hazifiki picha kwa siku naweza nisitume ama video ila hawa whatsap siwaelewi hii sms yao inamaana wwnataka kunipiga rula
Wakuu hii ni true story
Niko UDSM mwaka 2007 nikiwa nakaa mabibo hostel
Mke wa boss mmoja wa bandali alikuwa mwalimu wa primary grade 1, alikuwa anasoma BAED na jamà yangu walikuwa wanasoma kozi moja na wote walikuwa walimu wa grade A, wakapendana bana, jamaa naye alikuwa mme wa mtu.
UNAFIKI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.