startergear
JF-Expert Member
- Jun 2, 2015
- 772
- 1,005
Biashara na masikini mwenzake?😂😂China Kuna vitu kamzidi marekani na marekani Kuna vitu kamzidi USA mfano ukija kwenye biashara na Africa Mchina kamuacha mbali marekani huwezi Kuta bidhaa za marekani nchi nyingi za Africa .Bidhaa za China ziko Kila mahali mijini na vijijini Africa .Mfano wewe binafsi una bidhaa Gani ya marekani? Lakini ya china huwezi kwepa lazima iwe nayo nyumbani