Sio kweli, ajali nyingi abiria huwa wanaziona kabla hazijatokea....ndomaana majeruhi wakihojiwa huwa wanasimulia ilikuwaje, utaskia "Dereva wetu alikuwa anaovertake akakutana na roli,akajaribu kulikwepa ila uskani ukamshinda na kukutana nalo uso kwa uso,"
Sasa kumbe abiria huwa wanajua ila...
Mimi nilipona kwa mbinu hii,gari ilikuwa 90.
lbda ajali ikukute tu umesinzia au unachati....lakini mimi huwa na tabia mda wote macho yapo kodo kwa dereva na barabara na huwa nakaa siti za katikati ili nione vizuri
Unatakiwa uwe fasta sana na quick thinking
Watu wengi huwa wanduwaa wasijue la kufanya.
Lakini kwakuwa wewe umeshajua la kufanya,basi unakuwa na kama advantage ya kujiokoa kwa kutumia hizo sekunde chache sana za critical impact
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.