Search results

  1. Geuka tuone

    Fanya haya endapo basi ulilomo ghafla linaanza kupinduka…

    Mabasi yanatofautiana...lakini kama uvungu hautoshi basi jikunje pale sehemu ya kuwekea miguu
  2. Geuka tuone

    Fanya haya endapo basi ulilomo ghafla linaanza kupinduka…

    Haina tiba ila ina kinga...thats the whole point ya usalama wa barabarani.
  3. Geuka tuone

    Fanya haya endapo basi ulilomo ghafla linaanza kupinduka…

    Sio kweli, ajali nyingi abiria huwa wanaziona kabla hazijatokea....ndomaana majeruhi wakihojiwa huwa wanasimulia ilikuwaje, utaskia "Dereva wetu alikuwa anaovertake akakutana na roli,akajaribu kulikwepa ila uskani ukamshinda na kukutana nalo uso kwa uso," Sasa kumbe abiria huwa wanajua ila...
  4. Geuka tuone

    Fanya haya endapo basi ulilomo ghafla linaanza kupinduka…

    ilikuwaje?? Ulishtukia tu mmeahapiga mzinga?
  5. Geuka tuone

    Fanya haya endapo basi ulilomo ghafla linaanza kupinduka…

    Mimi nilipona kwa mbinu hii,gari ilikuwa 90. lbda ajali ikukute tu umesinzia au unachati....lakini mimi huwa na tabia mda wote macho yapo kodo kwa dereva na barabara na huwa nakaa siti za katikati ili nione vizuri
  6. Geuka tuone

    Fanya haya endapo basi ulilomo ghafla linaanza kupinduka…

    Unatakiwa uwe fasta sana na quick thinking Watu wengi huwa wanduwaa wasijue la kufanya. Lakini kwakuwa wewe umeshajua la kufanya,basi unakuwa na kama advantage ya kujiokoa kwa kutumia hizo sekunde chache sana za critical impact
  7. Geuka tuone

    Fanya haya endapo basi ulilomo ghafla linaanza kupinduka…

    Tunza hii..ipo siku itaokoa maisha yako, na ni maamuzi ya sekunde chache tu yanayoweza kutofautisha destiny yako ya kufa au kupona
  8. Geuka tuone

    Rais Samia ana uchungu mkubwa sana na maisha ya Vijana. Ndiyo maana anaendelea kuwekeza kwa vijana

    Mbona mimi mahindi yangu yameshikiliwa pale namanga wiki sasa...tumeambiwa hayaruhusiwi kutoka
  9. Geuka tuone

    Rais Samia ana uchungu mkubwa sana na maisha ya Vijana. Ndiyo maana anaendelea kuwekeza kwa vijana

    Vipi kuhusu kufungia mipaka kuuza mazao nje kwetu sisi wakulima???
  10. Geuka tuone

    Fanya haya endapo basi ulilomo ghafla linaanza kupinduka…

    Picture this🙌: Umekaa ndani ya basi liitwalo X, siti namba X ,unaenda mkoa X kumsalimia X. Mara ghafla unashtuka basi ulilomo linaanza kuyumba yumba kwa nguvu isivo kawaida na abiria wale viherehere akina mama mostly wameshaanza kupiga kelele za mamaaaa! (statistically speaking women more...
  11. Geuka tuone

    Tetesi: Msuva kuchukua nafasi ya Morrison

    Msuva hafiki kwa morison
  12. Geuka tuone

    Hello jeiefers, new member hiya

    Ndio hiyo niliyoweka dp
  13. Geuka tuone

    Hello jeiefers, new member hiya

    Basi Ni vizuri sana..mana mimi hivyo vyote sina ndo nmekuja kuvitafutia huku:Dsiunajua wanasema kaa karibu na nyuki upate asali
Back
Top Bottom