Fanya haya endapo basi ulilomo ghafla linaanza kupinduka…

Siku moja natoka kasulu nimo ndani ya bus (casablanca), asubuhi asubuhi tu ile tunavuka daraja la maragarasi... Mimi nilistuka gari limeegemea vyuma vya daraja linataka kudumbukia mtoni!! hakuna alistuka kabla labda waliokuwa mbele waliona!

Ilikuwa mwaka 2019/2020
 
Ulikuwa umekaa siti gani?
 
Sio kweli, ajali nyingi abiria huwa wanaziona kabla hazijatokea....ndomaana majeruhi wakihojiwa huwa wanasimulia ilikuwaje, utaskia "Dereva wetu alikuwa....
Dawa ni kuhimiza kufunga mkanda na kuwa na speed ambazo ni reasonable

Madereva kuepuka vilevi na kujali maisha ya abiria

Madereva wa tz wao hujali pesa na muda hawajali maisha ila mbinu zako hazitekelezeki kwenye ajali
 
Back
Top Bottom