Maisha haya, mwenye mshaara mkubwa ndio analipiwa nyumba na gari,mwalimu analipwa laki 6 Kila kitu analipia,anakatwa Kodi,watunga sera mshaara mlima hakatwi hata Senti,.
Hah sikumaliza kuandika Nika press enter,nilitaka Kusema anaelipwa milion kumi,nyumba anapanga suburban neighborhood,watoto shule za gharama,gari Cc2000,nae kwake milion kumi sio kitu
Kweli ndugu hapo nimeelewa..so means hata ukilipwa million kumi,nayo itakua ngumu kutunza
Natokea maisha magumu mkuu,ukitokea Uzi wa kushindana shida nitag nichangie,, sijawahi kuajiriwa ndio maana nimeuliza..
Mimi Nina swali,sio kwa ubaya.. huwa inatokana na Nini mtu anafanya kazi miaka mitano,but akipigwa chini miezi miwili tu analia njaa,
Hata akiba ya Kuanza biashara ndogo Huwa hakuna??hata Hela ya kula miezi sita wakati unajitafuta hakuna??
Changamoto inakuga Nini??
Wewe umemaliza Mimi sitoweka neno,mtoa post sio mtu wa mziki,wakina Sabrina carpenter,Nikki,Ella Mai,Dua Lipa,wanatoa kazi Kila siku,yeye anamskiliza Doja cat
John 12:3, Then Mary took about a pint of pure nard, an expensive perfume; she poured it on Jesus' feet and wiped his feet with her hair. And the house was filled with the fragrance of the perfume.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.