Recent content by Dkt. Gwajima D

  1. Dkt. Gwajima D

    Ahsante kufuatilia Bajeti ya Wizara ya Jamii 2024/24

    Ahsante Sana kwa maoni. Nami niruhusu nielimishe kwamba; ni uelewa tu, kwa kuwa, idara ya watoto inashughulika na watoto wote wa kike na kiume kupitia program ya malezi na makuzi, lakini madawati ya ulinzi wa watoto shule za msingi na Sekondari ni wote, kwenye madawati ya Jinsia na watoto Polisi...
  2. Dkt. Gwajima D

    Ahsante kufuatilia Bajeti ya Wizara ya Jamii 2024/24

    Naweza kusema tu kuwa, ufuatiliaji wako kuhusu kazi nafanya nadhani siyo wa Kila siku kwa Kila content. Ndiyo maana kuna kazi zangu zingine hukuzipata. Ingia google andika Dorothy Gwajima Shinyanga, kisha chagua video halafu tafuta video moja ina dakika 3.19 ya tarehe 5 Disemba 2022 kisha uje...
  3. Dkt. Gwajima D

    Ahsante kufuatilia Bajeti ya Wizara ya Jamii 2024/24

    Shukrani, naomba ushirikiano wenu daima 🙏🏽
  4. Dkt. Gwajima D

    Ahsante kufuatilia Bajeti ya Wizara ya Jamii 2024/24

    Ahsante Sana kwa maoni. Wanaume wengi hawajakubali kuwa, binadamu wote Wana udhaifu wakati fulani fulani na udhaifu siyo ulemavu bali inaweza kuwa ni kiwango cha hekima fulani katika kuepusha madhara. Sasa tuna mikakati ya kuelimisha jamii ya wanaume tangu wadogo, vijana na hata watu wazima...
  5. Dkt. Gwajima D

    Ahsante kufuatilia Bajeti ya Wizara ya Jamii 2024/24

    Mungu akubariki, mwaka huu nahitaji ushirikiano mkubwa zaidi kutoka kwenu wote... 🙏🏽
  6. Dkt. Gwajima D

    Ahsante kufuatilia Bajeti ya Wizara ya Jamii 2024/24

    Kweli, nami nimeendelea kupokea sms nyingi za wanaume na kuwapa huduma kupitia Dawati la jinsia. Changamoto kubwa ninayoona ni kuwa, mindset ya wanaume wengi hawajakubali kuwa, kama binadamu, hata wao kuna wakati wanahitaji hizi huduma, wanaona kama vile wao siyo watu wa kukutwa na msongo wa...
  7. Dkt. Gwajima D

    Ahsante kufuatilia Bajeti ya Wizara ya Jamii 2024/24

    Habari za asubuhi. Ahsante kwa mchango wako. Shukrani
  8. Dkt. Gwajima D

    Ahsante kufuatilia Bajeti ya Wizara ya Jamii 2024/24

    Ahsante Sana kwa maoni, tunaomba ushirikiano, tunaanza kwa upya kabisa mapambano kama timu moja ya taifa ngazi zote, huku maoni yenu yakiwa chachu kwenye safari ya utekelezaji. 🙏🏽
  9. Dkt. Gwajima D

    Ahsante kufuatilia Bajeti ya Wizara ya Jamii 2024/24

    Wasaalam. Nawashukuru watanzania wote kwa ufuatiliaji wa wasilisho la bajeti ya wizara ya jamii 2024/25. Namshukuru Mungu kwamba, mjadala mkubwa wakati wa uwasilishaji, ni ishara ya elimu kuifikia jamii kwa kina kuhusu kupambana na kutokomeza ukatili wa kijinsia na kudhibiti mmomonyoko wa...
  10. Dkt. Gwajima D

    Heri ya Siku ya Familia Duniani

    Ahsante Sana kwa ufuatiliaji wa habari za jamii. Ahsante Sana kwa maneno ya baraka. Naamini tutaendelea kushirikiana kwa wakati wetu huu duniani, tupande mbegu njema na kuipalilia ikazae matunda na mavuno mema. Inawezekana maana tuko pamoja na wamoja🙏🏽🇹🇿.....
  11. Dkt. Gwajima D

    Heri ya Siku ya Familia Duniani

    Wasalaam, Ile siku ni Leo tarehe 15 Mei, 2024. Kila mkoa unaadhimisha na wilaya zake na kata zake na vijiji vyake. Vyombo vya habari vinapaza sauti. Ukiona kimya uliko, basi kuna mtu hajatimiza tu wajibu wake wa kupaza sauti au wa kusikiliza sauti iliyopazwa. Sisi tuko Dodoma, Viwanja vya...
  12. Dkt. Gwajima D

    Epuka kusambaza maudhui yasiyo na maadili

    Kuna mahali hekima husimama na kuzidi vingine kutegemeana tu na hali ilivyo. Nadhani hata kwenye vyombo vya haki nao kuna wakati wanarejea hekima inasemaje. Ila tutafika tu ndiyo tumeanza. Ahsante Sana kwa maoni, nakuelewa concern yako. Shukrani
  13. Dkt. Gwajima D

    Epuka kusambaza maudhui yasiyo na maadili

    Ahsante Sana kwa mrejesho. Tunaachana padogo Sana na jamii. Wanapotoa taarifa hatua zikawa haziendi hapo si ndiyo pakuwasilisha rufaa ngazi ingine juu zaidi? Si ndiyo maana na namba tunatangaza, sasa mtu anaenda hatua moja, anakutana na mtu mmoja hana maadili kivyake tu, qnaishiq hapo...
  14. Dkt. Gwajima D

    Epuka kusambaza maudhui yasiyo na maadili

    Dodoma Chinangali Park
  15. Dkt. Gwajima D

    Epuka kusambaza maudhui yasiyo na maadili

    Ndugu zangu, tukishakuwa na sheria ni zetu wote, natarajia hata wewe ndugu yangu uchukue hatua umshtaki mtu uje tu na taarifa kuwa mimi kama raia mwema sipendi hili na lile na huyu kakosea sheria hii hapa nimemshtaki kwa nafasi yangu kama raia na RB hii hapa. Sasa mkitaka mtu mmoja ashtaki watu...
Back
Top Bottom