Search results

  1. Dkt. Gwajima D

    Dkt. Gwajima: Tukatae utapeli, Binti aliyedai anaishi na nyoka akiri haikuwa kweli

    Kufuatia sheria hii, je analijua Baraza la tiba asili na tiba mbadala na Kurugenzi ya tiba asili na tiba mbadala na dawa husika wanazosajili kwa sheria hiyo? Majukumu yao unayajua?
  2. Dkt. Gwajima D

    Dkt. Gwajima: Tukatae utapeli, Binti aliyedai anaishi na nyoka akiri haikuwa kweli

    Soma Sheria ya Tiba Asili na Tiba Mbadala namba 23 ya mwaka 2002. Changamoto yetu kubwa ni kuzifahamu sheria zetu wenyewe tulizotaka awali zitungwe. Akija wa kutekeleza watu wanamshangaa. Habari za mchana
  3. Dkt. Gwajima D

    Dkt. Gwajima: Tukatae utapeli, Binti aliyedai anaishi na nyoka akiri haikuwa kweli

    Ndugu zangu, tusijadili Imani wala Dini. Huyu hajavunja sheria Sababu ya Dini, ni yeye tu kavunja tu kwa kutoelewa au makusudi tu na tabia zake. Kama ni mavazi kama hayo hata mimi navaa mbona. Tuendelee na hoja za kukomesha tabia mbaya kwenye jamii yetu. Haya ya Imani tusiyahusishe kabisa kwani...
  4. Dkt. Gwajima D

  5. Dkt. Gwajima D

    Dkt. Gwajima: Tukatae utapeli, Binti aliyedai anaishi na nyoka akiri haikuwa kweli

    Ahsante Sana, naomba tu Kila anayeoona uongo uongo fulani kwenye Kila link basi tupeane ushirikiano. Maana naweza nikawa kuna link inaendelea mahali na mimi sijaiona na watu wanapotea.
  6. Dkt. Gwajima D

    Dkt. Gwajima: Tukatae utapeli, Binti aliyedai anaishi na nyoka akiri haikuwa kweli

    Ndugu yangu, Ili kusafisha jamii tunahitaji ushirikiano wa Kila mtu bila kujali itikado yake. Naomba ushirikiano wako.
  7. Dkt. Gwajima D

    Dkt. Gwajima: Tukatae utapeli, Binti aliyedai anaishi na nyoka akiri haikuwa kweli

    Ukiona umeenda kupata huduma ya serikali hupewi ushirikiano na watoa huduma, hilo nalo ni kosa. Toa taarifa kwa wakubwa wake kwenye taasisi hiyo. Mfano, Jeshi la Polisi Kila kituo wametangaza namba zao hapo wamebandika kuanzia ya IGP 0699998899 na mimi namba za kituo cha simu wizarani kwangu...
  8. Dkt. Gwajima D

    Dkt. Gwajima: Tukatae utapeli, Binti aliyedai anaishi na nyoka akiri haikuwa kweli

    Hatuwezi kufumbia macho, wa kuiponya Afrika ni mimi na wewe, tuungane tu
  9. Dkt. Gwajima D

    Dkt. Gwajima: Tukatae utapeli, Binti aliyedai anaishi na nyoka akiri haikuwa kweli

    Ajabu ni kuwa wapi walioamini na wanakiri kabisa "mimi nilidhani ukweli". Tusipowalinda watu wetu Iko siku watabebwa na hawa matapeli wakamezwe na hayo machatu. Unakumbuka kisa cha ile nchi watu wakapelekwa msitu ule jina linaanza na Shakao....... Unadhani ni nini? Kuaminishwa....
  10. Dkt. Gwajima D

    Dkt. Gwajima: Tukatae utapeli, Binti aliyedai anaishi na nyoka akiri haikuwa kweli

    Mimi narejea sheria tu... Na wewe nisaidie tusome. Kisha naenda kwa msajili wa huduma yao. Mambo yasiwe mengi, tujue tunaitekeleza au tunaifuta hiyo sheria. Maneno yawe machache vitendo viwe vingi,
  11. Dkt. Gwajima D

    Dkt. Gwajima: Tukatae utapeli, Binti aliyedai anaishi na nyoka akiri haikuwa kweli

    Naomba tushirikiane nipeni links hizo, mimi kazi yangu kutafuta sheria zetu zinasemaje Ili wakazijibu. Imetosha sasa. Watanzania tunapenda kuomba sheria iandaliwe lakini ikiandaliwa utekelezaji unakuwa chini Sana na wengi wanakuwa hawajui kabisa na matokeo yake ni mazoea ya makosa. Sasa wote...
  12. Dkt. Gwajima D

    Dkt. Gwajima: Tukatae utapeli, Binti aliyedai anaishi na nyoka akiri haikuwa kweli

    BINTI ALIYEDAI ANAISHI NA NYOKA AJISALIMISHA KWA WAZIRI DKT. GWAJIMA Aomba radhi, adai hajawahi kufanya hivyo alidanganya. DAR ES SALAAM. Itakumbukwa hivi karibuni ilienea video mitandaoni kupitia televisheni ya MBENGO TV ikionesha Binti mmoja aliyekuwa amebeba nyoka mkubwa huku akidai...
  13. Dkt. Gwajima D

    KERO Waziri Dorothy Gwajima, tunaomba umwangalie huyu Sheikh na Mahubiri na Mada zake

    Dhamana Iko wizara ya mambo ya ndani ambapo kuna msajili wa huduma kama hizi. Mimi namtumia huu Uzi na wewe tafadhali wasilisha. Shukrani
  14. Dkt. Gwajima D

    Ahsante kufuatilia Bajeti ya Wizara ya Jamii 2024/24

    Ahsante Sana kwa maoni. Nami niruhusu nielimishe kwamba; ni uelewa tu, kwa kuwa, idara ya watoto inashughulika na watoto wote wa kike na kiume kupitia program ya malezi na makuzi, lakini madawati ya ulinzi wa watoto shule za msingi na Sekondari ni wote, kwenye madawati ya Jinsia na watoto Polisi...
  15. Dkt. Gwajima D

    Ahsante kufuatilia Bajeti ya Wizara ya Jamii 2024/24

    Naweza kusema tu kuwa, ufuatiliaji wako kuhusu kazi nafanya nadhani siyo wa Kila siku kwa Kila content. Ndiyo maana kuna kazi zangu zingine hukuzipata. Ingia google andika Dorothy Gwajima Shinyanga, kisha chagua video halafu tafuta video moja ina dakika 3.19 ya tarehe 5 Disemba 2022 kisha uje...
  16. Dkt. Gwajima D

    Ahsante kufuatilia Bajeti ya Wizara ya Jamii 2024/24

    Shukrani, naomba ushirikiano wenu daima 🙏🏽
  17. Dkt. Gwajima D

    Ahsante kufuatilia Bajeti ya Wizara ya Jamii 2024/24

    Ahsante Sana kwa maoni. Wanaume wengi hawajakubali kuwa, binadamu wote Wana udhaifu wakati fulani fulani na udhaifu siyo ulemavu bali inaweza kuwa ni kiwango cha hekima fulani katika kuepusha madhara. Sasa tuna mikakati ya kuelimisha jamii ya wanaume tangu wadogo, vijana na hata watu wazima...
  18. Dkt. Gwajima D

    Ahsante kufuatilia Bajeti ya Wizara ya Jamii 2024/24

    Mungu akubariki, mwaka huu nahitaji ushirikiano mkubwa zaidi kutoka kwenu wote... 🙏🏽
Back
Top Bottom