Habari za jukwaani,
NIMEKUJA hapa kuomba love partner Kwa msichana / mwanamke aliye mpweke au asiye na furaha katika mahusiano,
Mimi Nina miaka 33+ lakini sichagui umri, dini, kabila wa Rangi...!
Naomba Kwa aliye muelewa na aliye tayari aje PM tufahamiane zaidi
Unatutia aibu mkuu, unalalama 80k, wakati hiyo no hela ya hotel usiku mmoja Tu??
Garama za chini kulala na mwanamke siku 2 asiyetoka nje ya dar:
Uber 20,000 kwenda na kurudi
Chakula 30,000 siku mbili
Vinywaji 20,000 kama atakunywa savana
Hotel 60,000 za bei rahis siku 2
Akiondoka unampa hata...
Hakuna mtu anayenunua gari bila kukagua na kuielewa mkuuu, hivi unajua kuna gari number C ipo Bora kuliko number D au wewe huwa unanunua gari Kwa number sio ubora na uzuri wa gari? Unajua kuna gari zimeingia nchini under exemption zaidi ya miaka 15 lakini now ukienda kufanyia malipo na usajili...
Wakuu nauza home theater yangu,
Watts 800
Haina blootuth
Inahitaji marekebisho kidogo upande wa cd
Zaidi ya hapo kila kitu kinafanya kazi, bei 350,000
Picha na mawasiliano zaidi 0658644485
Habari,
Nauza gari Aina ya Toyota Verossa number DAK haina tatizo lolote unawasha gari na kwenda safari kokote, gari ni yangu mwenyewe nauza ili nibadilishe au pia tunaweza kubadilisha na.ukaniongeza hela.
Bei ni 6.8M hata ukiwa mkoani unafikishiwa kwa usalama na uaminifu.
Kwa picha naomba...
tupo sema ni bahati kukutana tu, hata mm nilikuwa naonaga kama hakuna wanawake kama hao kumbe wapo ila shida ni njia za kukutana na kuaminiana katika kupeana nafasi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.