Recent content by DASM

  1. D

    Mauritius wana nini Zanzibar tushindwe?

    Mtakuwa kama Comoros . Ninyi na Comoros hamtofautiani humutawxa kubwa developed
  2. D

    Amejikuta anafanya ngono na mbwa sasa hawezi kuacha, afanyaje?

    Hii ndio inatuletea magonjwa ya ngono sugu (Zoonotic diseases) yasiyotibika..Hizo tabia za ajabu sana
  3. D

    Madhaifu ya wanyakyusa nilichogundua baada ya kupeleka posa/barua kwa binti wa kinyakyusa

    Tena wanyakyusa ni matrilineal. Watoto wanatuma majina ya wajomba
  4. D

    Anahitajika mtaalam wa Kutengeneza chakula cha mifugo.

    Ukipata mtu Ali ye soma B.Sc Animal Science sua atakusaidia Zaidi
  5. D

    Mbunge wa Gairo, Shabiby ataka fedha za bima kwa wote zikatwe kwenye laini za simu

    Wafanyakazi tayari wanalipa Bima ya afya kupitia mishahara Yao . Kwahiyo itapelekea wafanyakazi waache kukatwa bima ya afya kwenye mishahara
  6. D

    Kazi ninayofanya inaniletea maumivu makali ya mgongo, nifanyeje kukabiliana na hili?

    Chakula chako iwe bamia . Hiyo Kazi yako unalipwa shilling ngapi
  7. D

    2022 Haya ndio makabila yanaongoza kwa maendeleo

    Mbona ukienda makambako, Njombe hutawaona wachagga Ila Pana maendeleo ya kutosha. Matajiri ni wazawa tuu
  8. D

    Kujenga nyumba ya biashara mkoa ni upotevu wa pesa

    Kuna matajiri wapo mawilayani wanapesa nyingi kuwazidi watu wengi waishio kwenye majiji. Kuwekeza na kujenga bado ni asset kubwa Sana . Population inaongezeka
  9. D

    Wasafi Media Mtegoni. Diamond, Kusaga wavurugana

    Kings FM ni radio ipo Njombe mjini . Labda watafute jina mpya
  10. D

    Kaniambia akiipata kazi mume wake atapiga deki ndani!

    Watu tunalipwa per diem 150000 mpaka 200,000 hiyo ni mshamamba
  11. D

    MSAADA: Nimedharirika Sana Jana mbele ya Mwanamke

    Nitafute inbox nikupe ushauri. Ndani ya mwezi mmoja utakuepo na performance ya hatari mno ambayo hujawahi kuwa nayo kabisa . Wewe nitafute inbox tuu
  12. D

    Nimemlipia binti mahari lakini bado ananizungusha

    Ndoa ipi ndg yangu kama mahali imeshalipwa na binti + wazazi wameridhia. Kwani hapo miaka ya nyuma kabla ya dini za wazungu na waarabh ndoa zinaendeshwaje
  13. D

    Msaada: Miaka hii 43 nampataje mwenza ambaye hana mtoto

    Wapo wengi Sana. Tafuta na uwe na pesa kiasi. Tafuta wa 25-30 yrs
  14. D

    Kwanini Marais wengi Afrika Magharibi wanaoa wanawake wazungu?

    Nchi za Africa magharibi kuna muingiliano mkubwa Kati Yao na wazungu. Watu wa Africa magharibi wameoa wazungu Sana compared na sehemu nyingine za Africa.
  15. D

    Kwenye ulimwengu wa Waislamu, Rais Samia Suluhu ni Mwanamke wa nne Duniani kushika nafasi ya Urais

    Sheikh hazina. Rais Samia urais huu ni wa kirithi. Angegombea mwenyewe kuanzia mchakato wa kuomba Kura za maoni asingepita hata kwa kidodgo
Back
Top Bottom