Recent content by Darmian

  1. Darmian

    Ni Members gani wa JF, kwa mabandiko au koments zao tu, ina ashiria kabisa ni Warembo au Watanashati?

    Oya Half american achana na huyu Crush wangu.. Kidding
  2. Darmian

    Hili suala la vocha kupanda bei limekaaje kitaalamu?

    Kivyovyote vile hakikisha kwenye mobile wallet yako kuna hela..tusiishi kama tupo mwaka 1984.. Ukiweka 5000 mpesa mfano ukinunua vocha ya 500 hukatwi chochote balance inabaki 4500..na ni fasta tu hamna mambo ya kukwangua.. Upgrade your game.
  3. Darmian

    Uzi wa vyakula tu

    Hahaha.. Kumbe bado unakumbuka??
  4. Darmian

    Uzi wa vyakula tu

    Aache huo upumbavu mara moja..
  5. Darmian

    Hizi oil perfumu za kupima zinadumu mda mrefu kama original?

    Mimi natumia Nivea deodorant bei chee kabisa ila saivi mademu wanasema nanukia kinyama..sasa sijui hawa mademu ni wa kienyeji au vipi?? Nikihamia Dior Sauvage si ndo nitawauwa kabisa..
  6. Darmian

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Ten Haag OUT sio??
  7. Darmian

    Huenda Karia kaamua kuiabisha ligi yetu

    Zamalek vs Berkane hapa bonge moja la pitch.. Tuwekeze aisee kwenye stadiums kama kweli tupo serious na futiboli
  8. Darmian

    Kwa aliyewahi kusali kwa Mchungaji Irene Uwoya "Friends of God" Ministry ushauri Tafadhali

    Imebidi nikikumbuke kile kipochi nyoya cha Iryn kwenye ile video.
Back
Top Bottom