Acha kufata mkumbo, kwakuwa makelele hayakusikika sehemu nyingine haimaanishi hili ni sawa, kama angekuwa mama yako naamini usingejihisi vizuri, vivyo hivyo iwe kwa watu wengine hata kama huwajui wala huna ukaribu nao
Kila anayepinga ujinga unaofanya na baadhi ya viongozi CCM ni CHADEMA? Unajiona umetoa bonge la point mwenyewe! Kuna wengine hatuna vyama kokote wanapoboronga tunasema
Unasema nyie akina nani? Tatizo tanzania hii umeona ni ripoti ya CAG tu? Wewe umesema nini kwenye wizi huo? Sio laizima kila mtu aongelee kile unataka kusikia, nisiposema mimi anaweza ongelea mwingine, unaweza ongelea hata wewe. Fungua hiyo akili, upeo wako usiishie hapo kwenye pua tu
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda ametoa wito kwa vijana kuachana na siasa kwakuwa siasa hailipi badala yake wafikirie kuhusu kutengeneza pesa, maana pesa ndio inalipa na ukiikosa hata kwenye uchaguzi huchaguliwi!
Pale ambako mwanasiasa anakwambia siasa hailipi! Kama hailipi mbona haachi...
Umesema yote Mkuu, hata kama wananchi wana ari ya kupambana na rushwa, wanavunjwa moyo na serikali yao ambayo inanuka rushwa, ufisadi na ubadhirifu wa mali za umma
kwa siku za hivi karibuni hadi Bunge linakatiwa matangazo ya moja kwa moja (live coverage) na Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) na chombo hicho kujiunga na kuripoti matukio ya warsha, makongamano na ziara za Viongozi.
Kwa Mamlaka lililopewa Bunge katika Ibara ya 63 ya Katiba ya Jamhuri ya...
Akiwa katika muendelezo wa kusikiliza kero za ananchi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, ndg. Abert Chalamila akiwa Wilaya ya Ilala aliwaambia wananchi waliojenga stendi ya mwedokasi jangwani wanastahili kuchapwa viboko.
Ikumbukwe pia Chalamila aliwahi kutoa kauli inayofanana na hii mapema mwaka...
Jeshi la Polisi lingependa kutoa ufafanuzi kuhusu taarifa zilizoandikwa na kusambazwa kupitia vyombo vya habari zikisema "Wachepusha mfumo wa malipo".
Taarifa hiyo imeenda mbali zaidi ikidai na kutaka kuaminisha umma kuwa askari wa Usalama barabarani wameingilia mfumo wa malipo ya fedha za...
Kwahiyo ukirefer hivyo kama mimi ndio hao watumishi umejihisi vizuri mwenyewe?:KEKWlaugh::KEKWlaugh: Nyie ndio mnaochangia ujinga kama huu kuendelea nchini. Haijalishi anaongea na nani kuna taratibu za kufanya kila kitu bila hivyo tutatengeneza mfumo mbaya ambao hata mtu akiuliwa tutaona sawa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.