Recent content by Crocodiletooth

  1. Crocodiletooth

    Portia is Back

    Mafuta kwa ajili ya nini hii?.....maana baadhi ya mafuta huwa hatari sana
  2. Crocodiletooth

    Mabilioni yaliyofichwa na Hayati Magufuli kwake Chato, serikali ilikaa kimya?!

    Akili kubwa hii zilifichwa in US $ safi Sana Alikuwa mzalendo wa ukweli huyu!. / (Alikuwa ametufichia fedha zetu watanzania)
  3. Crocodiletooth

    What is the right religion on Earth?

    (Ancient African image of the Supreme Being, Amen in His form as Min, the Procreator) To answer this question, we must first understand the true nature of the Supreme Being. He created human beings as avatars for Him to enter His Creation from WITHIN the Creation. However, the Creator is not...
  4. Crocodiletooth

    Tundu Lissu: Kuongoza Watu Wajinga ni rahisi sana, tumekuwa Taifa la kuogopa miungu Watu badala ya kumtegemea Mungu wa Mbinguni!

    Mwanaume lijali hawezi kuchangiwa fedha kamwe, ni kufuru kwa muumba na fedheha, Mungu aliumba mwanadamu afanye kazi apate riziki yake ale kwa jasho, hii tabia hii, ushoga hautakwisha kwa tabia hii.
  5. Crocodiletooth

    Tundu Lissu: Kuongoza Watu Wajinga ni rahisi sana, tumekuwa Taifa la kuogopa miungu Watu badala ya kumtegemea Mungu wa Mbinguni!

    Ukiwapata wajinga we kazi yako ni kukamua tu, maelekezo na kukamua tu.
  6. Crocodiletooth

    Kenya imeanza kutazama mbali zaidi, baada ya kuona huenda ikakaribiwa kiuchumi na kupitwa.

    Ni kweli Makaa ya Mawe yanaondoka kwa wingi kwenda Kenya, yapaswa serekali itoe tamko na mamlaka husika je taifa letu limejipatia kiasi gani? Na Je tunanufaika kama taifa au mwanahasara na kuja kubaki na mahandaki? MAMLAKA HUSIKA ZIOMDOE MADUKUDUKU YA WANANCHI YA AINA HII MAANA HATA WABUNGE...
  7. Crocodiletooth

    Wanaume hawa hawafai.

    Endapo kama unaacha fedha ya kutosha let say 15000/- and then ukirudi unakuta madude ya ajabu, na unakuwa imechoka kupiga kelele hutaki umekwisha mueleza hilo haelewi, why not nisiende kumtembelea rafiki, kumbe naenda kupata menu pendwa?, au utanilaumuje nisiwe na nyumba ndogo?, shida wanawake...
  8. Crocodiletooth

    Wanaume hawa hawafai.

    Natafuta single mama awe mwelewa na mtulivu awe anashughuli zake, asiwe aliyebweteka, awe anajiheshimu, cha zaidi tuwe tunapeana ushauri zaidi, jinsi ya kukabili maisha haya, nasisitiza ajiheshimu asipende makuu, karibu pm! Ms R, hi mummy!
  9. Crocodiletooth

    Babu tale atoa elf 50 Kwa kila mjumbe jimbon kwake

    Haponi jimboni hapo hata afanyaje!, ataondolewa tu, keep ma word!
  10. Crocodiletooth

    Wanaume hawa hawafai.

    NA wengi wanategemea wagawe duduz zao kujikimu!
  11. Crocodiletooth

    Kenya imeanza kutazama mbali zaidi, baada ya kuona huenda ikakaribiwa kiuchumi na kupitwa.

    NA ndiyo nia ya kila mwanaume awe mstari wa mbele, ukiona hupiganii hilo utambue una shida kwenye ubongo wako, life is fast moving races!
  12. Crocodiletooth

    Wanaume hawa hawafai.

    Filosofia ya wapare wana iingage katika kila sekta za maisha.
Back
Top Bottom