Recent content by comte

  1. comte

    JKT kuvaa vibukta mabinti zetu katika mafunzo yenu ni kwenda kinyume na katiba

    Waache wanajeshi wawe wanajeshi
  2. comte

    Wajua Muungano wa Kweli, Ni Muungano wa Serikali Moja?. Wajua Karume, Alitaka Serikali Moja, Nyerere Ndiye Akazuia?. Jee Wazanzibari Watakubali S.1?.

    Mkuu Paskali ukiacha uumbaji (Nature) mengine yote yanabaki tulivyo kubaliana (social construct)
  3. comte

    A Golden Opportunity? Ni Kitabu kilichoandikwa na Tundu Lissu, UDSM na LHRC kuhusu Migodi ya Dhahabu

    Nature + Natural law= Reality Nature + wishes= Utopia
  4. comte

    TRA mfumo wa kufuatilia utendaji wa EFD ni hatua sizizo na tija zaidi ya kutengeneza mwanya wa rushwa

    Mkuu nafanyia kazi maelezo yao (TRA) ambayo kwa ufupi watafatilia INTENSITY ya utowaji wa risiti. Unatoa risiti unapouza sasa wafanyabiashara hawauzimda wote- kuna peak, low na moderate hours. Sijui bench mark itakuwa ipi kati ya hizo. Kama itakuwa peak hours maana yake wakati wa low hours...
  5. comte

    A Golden Opportunity? Ni Kitabu kilichoandikwa na Tundu Lissu, UDSM na LHRC kuhusu Migodi ya Dhahabu

    Nadhani tulishakubaliana huna cha kunisaidia na miye sina cha kukusaidia pia. DONE. In respect to my observance of natural laws, it is obvious one can not subscribe to what one does not know.
  6. comte

    A Golden Opportunity? Ni Kitabu kilichoandikwa na Tundu Lissu, UDSM na LHRC kuhusu Migodi ya Dhahabu

    Ndivyo ulivyoaminishwa na Jenerali Ulimwengu maana aliwahi kuyasema haya kuhalalisha uanaharakati wake
  7. comte

    TRA mfumo wa kufuatilia utendaji wa EFD ni hatua sizizo na tija zaidi ya kutengeneza mwanya wa rushwa

    Kijana sijui kama umeelewa kinachofatiliwa ni nini na mie hoja yangu ni ipi
  8. comte

    Mlioko Uingereza, msaidieni huyu mama kufahamu wanawe walipo

    Hii barua imelekezwa kwa nani hasa?. Tusali wapatikane wakiwa salama
  9. comte

    A Golden Opportunity? Ni Kitabu kilichoandikwa na Tundu Lissu, UDSM na LHRC kuhusu Migodi ya Dhahabu

    Mkuu, nadhani nawe ni mwanaharakati mwingine na sina namna ya kukusaidia. Mimi naishi kwa akili yangu na kufuta natural laws.
  10. comte

    TRA mfumo wa kufuatilia utendaji wa EFD ni hatua sizizo na tija zaidi ya kutengeneza mwanya wa rushwa

    Kwenye taarifa iliyoambatanishwa hapa chini, TRA imeingia mkataba na the International Growth Centre (IGC) taasisi ya kitafiti iliyoko ndani ya London School of Economics ya kufunga mfumo wa kufuatilia utendaji wa EFD. Kwa mjibu wa mpango huo TRA watakuwa wanatuatilia mwenendo wa utowaji wa...
  11. comte

    A Golden Opportunity? Ni Kitabu kilichoandikwa na Tundu Lissu, UDSM na LHRC kuhusu Migodi ya Dhahabu

    Mkuu nimesomeshwa na serikali- unataka nifaidike na nini zaidi wanipe dawa ya kutokufa?
  12. comte

    Rais Samia yuko wapi?

    Maria Sarungi-hivi aliolewa akaachika?
  13. comte

    A Golden Opportunity? Ni Kitabu kilichoandikwa na Tundu Lissu, UDSM na LHRC kuhusu Migodi ya Dhahabu

    Mwanaharakati ni mtu anayetengeneza tatizo ambalo halipo, analitafutia ufumbuzi na kujipa sifa mwenye kwa kulitafutia ufumbuzi
Back
Top Bottom