Recent content by Colgate3

  1. Colgate3

    Wanafunzi zaidi ya 450 wameahirisha masomo baada ya kukosa mikopo

    Rais hii ikufikie kwani huenda hulijui, wanakusifia tu unaupiga mwingi
  2. Colgate3

    Wanafunzi zaidi ya 450 wameahirisha masomo baada ya kukosa mikopo

    Hii ni taarifa mbaya sana kwa mstakabali wa hatima ya taifa letu. Wanafunzi zaidi ya 450 wameahirisha masomo baada ya kukosa mikopo baada ya mitihani kukaribia. Kwa mujibu wa utaratibu wa chuo, mwanafunzi atakayeruhusiwa kufanya mtihani yaani UE atawajibika kuwa na kitambulisho cha chuo na sio...
  3. Colgate3

    Watanzania tunanyanyasika sana na watawala: Umeme ni mfano halisi

    Hiyo ni picha ya jiongozi yupo anayeendesha nchi nyuma yake
  4. Colgate3

    Watanzania tunanyanyasika sana na watawala: Umeme ni mfano halisi

    Pole mkuu hatuna viongozi tuna vibaka tu wanabaka hazina
  5. Colgate3

    Watanzania tunanyanyasika sana na watawala: Umeme ni mfano halisi

    Wanatudharau wanaona hatuwezi kuwafanya lolote. Tanesco ni ahamba la bibi wanajipigia tu
  6. Colgate3

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Thread 'Watanzania tunanyanyasika sana na watawala: Umeme ni mfano halisi' Watanzania tunanyanyasika sana na watawala: Umeme ni mfano halisi
  7. Colgate3

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    https://www.jamiiforums.com/threads/watanzania-tunanyanyasika-sana-na-watawala-umeme-ni-mfano-halisi.2179647/
Back
Top Bottom