Habari za muda huu wana jamvi
Naandika uzi huu nikiwa kwenye daladala nikirejea nyumbani kutoka kwenye "mihangaiko" ya Kila siku
Ndani ya daladala nmekaa karibu na wakina mama wawili wakipare(nimesikia wakiongea kipare). Hawa kina mama wanaelezana kuhusu tabia mbaya za mabinti zao waliohitimu...
Sema ajitathimini je yeye anaanza kusalimia watu hawaitikii??maana Kuna masela flani wanajikutaga "ma influensa" mikausho mikali waanzwe wao Kila siku,afu madem zao wapo peace na watu
Wengine tangu tumezaliwa tumekuta baba,babu zetu wanakula ngano na Milo mi3 mpka zaidi,for the record babu yangu alikua na WA awake 4,na watoto 32 akila hizo hizo ngano
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.