Recent content by Buswelu

  1. Buswelu

    Jumaa Aweso, Hussein Bashe, Innocent Bashungwa nyota zinang'ara

    Huyu Juma awezo ambaye ameshindwa kutatua tatizo la maji buswelu, wilayani Ilemela mkoa wa mwanza.....mwezi wa tatu wananchi hawana maji...mpaka wasoma mita wanaogopa kusoma tena mita, mean while mkoaw a Shinyanga and Tabora maji ni mengi na wako mbioni kuyapeleka Dodoma. Unaweza kuwaza...
  2. Buswelu

    Jiji la Mwanza vs Jiji la Arusha: Lipi ni zaidi kwenye hili?

    Bado mnabishana Mwanza na Arusha mbona kila moja lina uzuri wake na namna yake ya kuingiza kipato kwa mtu mmoja mmoja na kipato cha mkoa/kwa ujumla wake....
  3. Buswelu

    Loss report sasa ni fursa kwa polisi na watu wa stationary.

    We si mkweli.....unapotosha umma kwa malengo binafsi au umetumwa. nachojua loss report ni 500.
  4. Buswelu

    Zitto: Moja ya kampuni ya kusindika tambaku yafungasha virago sababu ya mazingira magumu ya biashara

    Kwa hiyo unaona ni bora wafunge tu, basi sawa watabadilisha matumizi kiwe cha kubangua korosho. Fatilia kwa makini hili swala utaona kwa mapana zaidi.
  5. Buswelu

    Zitto: Moja ya kampuni ya kusindika tambaku yafungasha virago sababu ya mazingira magumu ya biashara

    Mwambie miaka hii 5 nyuma ndio kwanza tabora inauganishwa na Tanzania kwa barabara ya lami na haijamalizika mpaka leo from Itigi - Tabora. Mwambie hata almasi ya mwadui ilikuwa inachimbwa mwadui na kwenda kukatwa Iringa (Tancat Almasi). Huu ulikuwa mpango wa Nyerere kitambo kuhakikisha kila...
  6. Buswelu

    Zitto: Moja ya kampuni ya kusindika tambaku yafungasha virago sababu ya mazingira magumu ya biashara

    Mkuu nashukuru kwa kuelewa...tax return linazungumzika kama kuna kiasi kidogo cha ku return... Umezungumzia, kuwa sijafafanua ....ila jua kuwa kila kifungashio cha tumbaku kinacho ingia na kutoka nchi hii kinalipiwa kabla na kikisha ondoka ile kodi inapashwa kurudisha kwa mwekezaji....ila mfumo...
  7. Buswelu

    Zitto: Moja ya kampuni ya kusindika tambaku yafungasha virago sababu ya mazingira magumu ya biashara

    Kwa ufupi kampuni ambayo haita nunua tumbaku msimu ujao wa tumbaku ni Tanzania Leaf Tobacco Campany ambao wao hunua tumbaku na kulisha kiwanda cha Tanzania Tobacco Processors Company ambacho kiko chini yake....pamoja na wateja wengine ambao ni wanunuzi wa tumbaku lakini hawana kiwanda. Ambao...
  8. Buswelu

    Kitwana Manara aliwezaje kucheza kama mlinda mlango na mshambuliaji?

    Mzee baba jua ni changamoto kwa hawa ndugu zetu.....angekuwa mbele labda angecheza.
  9. Buswelu

    Internet download manager(IDM) isiyohitaji key miaka 100 hii hapa

    Hivi hakuna app ingine ya ku download streaming media zaidi ya IDM...Maana IDM imekuwa na vikwazo vingi sana.
  10. Buswelu

    Madai ya wanawake waliotelekezwa yanatuambia nini?

    Naliangalia jambo hili kwa angle ingine, nikiwa na maana mwanaume anaweza kuwa na uwezo wa kawaida wa kutuna mtoto kwa mfano 100,000 kwa mwezi au 75,000 kwa mwezi....ila sasa huyu mama/mzazi mwezio akaona huo upenyo yeye akaacha kujishughulisha na kutafuta pesa zake mweyewe ile ya baba kwenda...
  11. Buswelu

    Sioni mwisho mwema wa Mtulia kwenye siasa

    Yule Mpangaji wetu pale magogoni kila haipiti wiki mbili hajaitamka Libya, Rwanda anapata kigugumizi(urafiki) Iraq lazima aitaje...huwa anamaanisha nini? au nyani haoni.....ndule?
  12. Buswelu

    Jua haki yako unapokamatwa na Polisi

    Hizi kabla hujaanza kuuliza hizi haki zako wanawaweza kuwa wameshakuvunja miguu...maana hata wao naamini hawazijui/wamezisahau....hawakufunzwa kabisa...wengi hasa wa patrol wamefunika number zao za u askari kiasi kwamba huo muda wa kumuuuliza number yake atakuwa kashakuvuruga vya kutosha. La...
  13. Buswelu

    A day spent well with my bloods..

    Huna hela....stress zinaweza kukutanguliza mbele za haki...wacha watu wa enjoy....
  14. Buswelu

    A day spent well with my bloods..

    Ukiwa huna hela.....unakua na hasira na stress sana....kila kitu unakiona hakikosa sawa...chill relax be positive.
  15. Buswelu

    Kilichopo nyuma ya pazia Wema Sepetu kujiunga na Wasafi

    Kuanzia shuleni mpaka maishani.....
Back
Top Bottom