Huyu Juma awezo ambaye ameshindwa kutatua tatizo la maji buswelu, wilayani Ilemela mkoa wa mwanza.....mwezi wa tatu wananchi hawana maji...mpaka wasoma mita wanaogopa kusoma tena mita, mean while mkoaw a Shinyanga and Tabora maji ni mengi na wako mbioni kuyapeleka Dodoma.
Unaweza kuwaza...
Bado mnabishana Mwanza na Arusha mbona kila moja lina uzuri wake na namna yake ya kuingiza kipato kwa mtu mmoja mmoja na kipato cha mkoa/kwa ujumla wake....
Mwambie miaka hii 5 nyuma ndio kwanza tabora inauganishwa na Tanzania kwa barabara ya lami na haijamalizika mpaka leo from Itigi - Tabora. Mwambie hata almasi ya mwadui ilikuwa inachimbwa mwadui na kwenda kukatwa Iringa (Tancat Almasi). Huu ulikuwa mpango wa Nyerere kitambo kuhakikisha kila...
Mkuu nashukuru kwa kuelewa...tax return linazungumzika kama kuna kiasi kidogo cha ku return...
Umezungumzia, kuwa sijafafanua ....ila jua kuwa kila kifungashio cha tumbaku kinacho ingia na kutoka nchi hii kinalipiwa kabla na kikisha ondoka ile kodi inapashwa kurudisha kwa mwekezaji....ila mfumo...
Kwa ufupi kampuni ambayo haita nunua tumbaku msimu ujao wa tumbaku ni Tanzania Leaf Tobacco Campany ambao wao hunua tumbaku na kulisha kiwanda cha Tanzania Tobacco Processors Company ambacho kiko chini yake....pamoja na wateja wengine ambao ni wanunuzi wa tumbaku lakini hawana kiwanda.
Ambao...
Naliangalia jambo hili kwa angle ingine, nikiwa na maana mwanaume anaweza kuwa na uwezo wa kawaida wa kutuna mtoto kwa mfano 100,000 kwa mwezi au 75,000 kwa mwezi....ila sasa huyu mama/mzazi mwezio akaona huo upenyo yeye akaacha kujishughulisha na kutafuta pesa zake mweyewe ile ya baba kwenda...
Yule Mpangaji wetu pale magogoni kila haipiti wiki mbili hajaitamka Libya, Rwanda anapata kigugumizi(urafiki) Iraq lazima aitaje...huwa anamaanisha nini? au nyani haoni.....ndule?
Hizi kabla hujaanza kuuliza hizi haki zako wanawaweza kuwa wameshakuvunja miguu...maana hata wao naamini hawazijui/wamezisahau....hawakufunzwa kabisa...wengi hasa wa patrol wamefunika number zao za u askari kiasi kwamba huo muda wa kumuuuliza number yake atakuwa kashakuvuruga vya kutosha.
La...
Hivi Kumsalimia Lissu ni kitu cha lazima? si utashi wa mtu mbona kila mbunge analiweka swala la kumsalimia Lissu kama ngao kabisa.....maana kuna watu kibao hata wazazi wao wakiungua hawaendi kuwasalimia....kwenda msalimia Lissu au kumpa pole linakuwa ni kama lazima.....
chambimagaka,
Wale jamaa hata uvute maji toka ziwa victoria, mto kirumi bado watakata mabomba....pale Nyamongo walivutiwa maji toka mgodini usiku wanakata mabomba wanaenda kuuza Kenya. Baadae mwekezaji akaweka water tanks points akawa anapitisha maji asubuhi anajaza kwenye tanks hizo kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.