Ni hivi penzi bado jipya kabisa.
Na kitoto cha elfu 2.
Kimeomba godoro.
Siwezi kutoa laki 2 au 3 kununua godoro jipya ila nyumbani kwangu Nina godoro ambalo sili tumii.
Ni yale magodoro ya elfu themanini yale ambayo yana ma kava laini ya kuingiza na kutoa.
Kava tayari lilisha toka...
Kamata mwizi meen. Popoma alitaka aonekane na yeye anaishi Dar kwamba anajua habari za ndani za Penina. 🤣🤣🤣 ameumbuka.
Yote hiyo kutaka kuonekana na yeye anaishi Dar.
Kumbe LIKUD yupo sahihi kabisa kwamba popoma hajawahi kufika Dar.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.