Recent content by bongo dili

  1. bongo dili

    Mwanamke ni sura nzuri, umbo zuri na haiba za kike tu basi

    Waliosema tabia Haina dawa sura utanunua dukani hawakuwa wajinga
  2. bongo dili

    Kuagiza magari

    Spea za magari mfano engine gearbox,nk wanacalculate vipi kodi
  3. bongo dili

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Maamuzi yeyeto yasiathiri kesho ya watoto,mateja,mashoga,malaya,ni zao la single mama. Shetani haleti mitihani kwenye ndoa isiyotishia ufalme wake
  4. bongo dili

    Je, ni kweli Namtumbo kuna madini ya chuma?

    Namtumbo ni tajiri kwa raslimali
  5. bongo dili

    Je, ni kweli Namtumbo kuna madini ya chuma?

    Mantrax Toka Ukraine wapo kwenye mchakato wa kuchimba uranium huko. Ukiona sehemu haifai kwa kilimo Mungu kaweka madini
  6. bongo dili

    DOKEZO Serikali chukueni hatua za haraka dhidi ya Nabii Dominiki "Kiboko ya Wachawi"

    KG kapunguza idadi ya wanaompinga,akazue na online Sasa
  7. bongo dili

    DOKEZO Serikali chukueni hatua za haraka dhidi ya Nabii Dominiki "Kiboko ya Wachawi"

    Kwani we ni mchawi hadi umuogope nabii anatishia nguvu zako. Kama wanatoa kwa hiari Yao na pesa zao wewe shida Nini? Mbona kwa waganga wanatoa zaidi ya hizo. Unayapimaje mafundisho kuwa ni ya kweli au uongo. Kama avunji Sheria ya nchi hana kosa
  8. bongo dili

    Je, ni kweli Namtumbo kuna madini ya chuma?

    Makaa ya mawe na chuma ukaa karibu ili utumie makaa kuyeyusha chuma ukuze uchumi.
  9. bongo dili

    Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Labda umfunge kamba. Kumbuka wapo ma ex wake wanamjua Hadi ufunguni
Back
Top Bottom