Waungwana mi nahitaji chanjo lakini isiwe ya mchina. Tafadhali kama unafahamu naweza kuipata wapi ntashukuru ukinifahamisha. (JJ, MODERNA, BioNtech, Pfizer)
Nakuelewa mkuu, ila kuna maeneo unaweza kwenda ukazuga na gazeti ukasoma. You have to be strategic!
Halafu jamani graduates hebu tusaidieni muwe mnaandika maneno yanakamilika jamani. nisingeota hata kwenye ndoto kuwa graduate anaandika vifupisho vya namna hii.
Hakuna kitu ninacho appreciate kama proffesinalism kwenye INGO, yaani kama ulitoka kwenye makampuni yanayoendekeza kujuana, kujiafnyia mambo bila kufata utaratibu, huku utaona uko sayari nyengine. No longolongo na shortcut. mambo yote yanafuta sheria na sera zilizopitishwa.
Ukiomba kazi mahali, ukaitwa kwenye usahili sio uthiitisho kuwa kazi umepata. usaili ni hatua mojawapo tu ya mchakato wa ajira. msije hapa mkapotosha watu kuwa hata akiomba kazi hatapata. kuna watu tumefanya usahaili mara kadhaa na tunatoka tukijua hapa hii kazi ninayo na bado unakosa. ukiwa na...
Hao ndo wale wazee wa kukariri na kukurupuka! Tangu waaminishwe hivyo basi that shit got stuck in their dumb heads, wakilala wakiamka ni hilo tu! This ignorance sickens!
Kwani ulikuja kustarehe hapa duniani? Are you forgetting that you were once a child? unadhani wewe ulikuwa 'mtoto mtakatifu'? Kamam wewe ni mzazi au mlezi lazima unafahamu kwamba kisayansi kuna umri watoto wetu wanakuwa almost 'uncontrollable' sio kwa kupenda bali tu ni mchakato asilia wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.